Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Hata kama umetunga lakini umeipanga vizuri kweli,
N.b-wanawake wote ni Malaya hata aonyeshe uaminifu wa aina gani,ni Malaya tu, MUONYE NA MSAMEHE.
 
ngoja tukae kwanza chai isitumwagikie
IMG_20220420_150347.jpg
 
Inategemea ntu na ntu asee factor hazifanani!! so siwezi kuwa na majibu ya moja kwa moja!
Tatizo lenu wanawake wengi ni wanafiki tuu....u all have fantasys ambazo mngependa timiziwa ila kikuwaba ni kwamba hamtaki kuonekana kama malaya sijui nini kutokana na jinsi jamii inavyotaka mwanamke ajiendeshe.

Kwenye suala la ndoa...mie nina jamaa yangu alifanya kazi kwenye makammpuni ya kuuza condom na walifanya utafiti ikagubdulika kuwa asilimia kubwa ya wanawake wana cheat waume zao kutokana na ushawishi wa ndalama toka kwa hao wanaume.
Ndio maana nikasema awali kuwa mwanamke youote yule ni wako pale tuu lde libolo limezama kwenye mbususu yake. Akitembea mtaani any man with the right amount of cash anamgegeda tuu
 
Wewe ni Mjinga

Ni Mjinga Kwa sababu, Umekubali machozi ya mwanamke Yakuhadae.


Niamin Mimi, Mwanamke atendapo uovu, Silaha yake yakwanza ni MACHOZI na vitisho vya kujiua


Yaan huyo Ungemfukuza Mara Moja, aende akajinyonge na kujiua mbele Kwa mbele ... Atajua mwenyewe !!



Ninarudia, Mfukuze huyo Mwanamke Bila huruma , Hastahili msamaha !!...


Kakudharau namna gan?? Hata km ni kutombwaa ndio mpaka majumba bovu??? Vichochoron??sawa kutombwa ni kutombwaa ndio MPAKA MAJIRAN WAJUE !! yaaan alikua anatombwaa akijua ameshakupa limbwata.
Demu ana nyota ya ukahaba huyo. Demu anayejielewa hawezi kugongewa kwenye jumba bovu au vichochoroni
 
Napingaaa!!! Si kweli!!
Tatizo lenu wanawake wengi ni wanafiki tuu....u all have fantasys ambazo mngependa timiziwa ila kikuwaba ni kwamba hamtaki kuonekana kama malaya sijui nini kutokana na jinsi jamii inavyotaka mwanamke ajiendeshe.

Kwenye suala la ndoa...mie nina jamaa yangu alifanya kazi kwenye makammpuni ya kuuza condom na walifanya utafiti ikagubdulika kuwa asilimia kubwa ya wanawake wana cheat waume zao kutokana na ushawishi wa ndalama toka kwa hao wanaume.
Ndio maana nikasema awali kuwa mwanamke youote yule ni wako pale tuu lde libolo limezama kwenye mbususu yake. Akitembea mtaani any man with the right amount of cash anamgegeda tuu
 
Yan ubaya wa mtaani ni kwamba, raia wote wanakuwa wanajua machafu ya mtu wako, kasoro ww tu [emoji28][emoji28]
Na huo ndiyo ukweli,ukija kujua ujue yaani taarifa zilikua zinakuzunguka muda mrefu sana.Watu wa mtaani,wanajuaga mengi sana kabla ya wewe mhusika.
 
Huyo yupo ktk grief moment na kutishia kujiua ni defence mechanism ya kumuonea huruma ikiwa ameshafanya makosa. Hii huwa inatumiwa na wanawake wengi wakijiona wamefanya makosa makubwa na hawana pa kujitetea.

Akihisi anakumudu kwanza huanza kua mkali na kukutengenezea mazingira ya kukufokea ili ujichanganye umchape makofi kisha kesi ikurudie wewe kua umempiga kwa kumuonea. Ikishindikana atajiliza kutaka huruma yako. Wakiona mambo mazito ndio wanatishia kujiua sasa.

Utakua boya sana ukimsamehe moja kwa moja mtu msaliti wa namna hiyo.

Niliwahi kuishi na mdada mmoja, tena alikua single mother na nilkua namtimizia mahitaji yake yote pamoja na mwanae na biashara nikamfungulia. Akawa anacheka cheka ovyo na wapangaji (hasa wa kiume) na kugawa gawa namba zake njiani. Mwisho wa siku akanipiga tukio nikakuta sms za ajabu ajabu ktk cm yake zikionyesha anamegwa na nyngne akiwa anaelekea kumegwa tena na washkaji zangu wa karibu. Nilipomuweka mtu kati akaleta pigo za kutaka kujiua.

Nilichokifanya sikupanic, nikapretend nimemsamehe huku mdogo mdogo nikaanzisha mji mwngne. Nilipohama ndio ikawa mazima na mpaka sasa anaishi ingawa daily hachoki kutuma text za kuomba turudiane na maisha yamemchapa. Mwanamke msalilti is for the streets bro. Muache aende zake you deserve something better.

asante sana kwa ushauri mzuri [emoji120]
 
Kwa sasa upo na jazba sana bila shaka, naomba mrudishe kwao huyo manzi then utulize akili na kufanya maamuzi sahihi.
 
Anakuzuga tu huyo mke wenu maana sasa mko wawili

wewe & huyo mzee...na kama angetaka kujiua asingesubiri wewe utoke uko kwenye mazungumzo

Angejiua wakati ule ule we unaenda tu kwa yule bi mkubwa na yeye nyuma anajipiga kisu

Sasa ye anajipiga kisu wakati umesharud na unamuona uyo si anakuzuga tu?

Ameshaonja asali ya huyo buda kwaiyo hatobadilika

Cha msingi mrudishe yu kwao kama ni kujiua akajiue kwa baba yake huko

Mwanaume ukishindwa kumuacha mwanamke kwenye usaliti bas usitegemee kama utakuja kumuacha huyo mwanamke

Maana hakuna madhira makubwa zaid ya usaliti

Akili kichwani mwako kaka, we muonee tu huruma utakuja kutupa hadi sisi humu jF

asante mzee kwa ushauri
 
Back
Top Bottom