Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Duuuh,...yani bado unajiuliza hujui ufanye nini.
 
Yan ubaya wa mtaani ni kwamba, raia wote wanakuwa wanajua machafu ya mtu wako, kasoro ww tu [emoji28][emoji28]
Ndio maana unaambiwa usiwe kauzu sana street cheka na watu ila kwa mipaka..kwa ground kuna raia wana mafile yako ila kwa ukauzu wako wanakusanifu tu..ila huyu jamaa hana mke..halafu dizaini mwamba anakomaa sana kutafuta maisha halafu anasahau kuishi..hawa viumbe wana mengi sana aisee.
 
Weee akikumbuka kuwa ilichomoka alafu mrembo akairudisha mwenyewe kwenye mbususu unapata hasira sana.
Mwanaume aliyethibitisha Uchepukaji wa Mke wake.
HUWA HAISHI KWA AMANI TENA MAISHA YAKE YOTE !!!!.


na Kwa sababu hiyo kama aliamua kusamehe, basi awapo nje Moyo juu juu , awapo ndan moyo juu.

Kila anapokutana na Mke wake, kinachomuijia kichwan ni picha ya Mahali anapotia, pametiwa , na Tena sio Mahali tu, Bali Mahali ulipopatolea Mahari !![emoji23][emoji23]



Nilishamwambia humu, WANAWAKE WALIO WENGI KWA SASA, WAMESHAJIPOTEZEA HESHIMA ZAO KITAMBOOOOOO SANA , WALA MSIHANGAIKE KUWAISHI KAMA MALAIKA !!.


Bora uonekane Mbinafsi ,lkn Kwa faida ya moyo wako , Amani yako, Furaha yako !!.



Sisi Wakirsto, Mwanaume hatakiwi kumwacha. Mwanamke katika mazingira mawili
[emoji117]huyo mwanamke ni mzinzi

[emoji117]Huyo mwanamke ni Mchawi


Unajua Kwa sababu gan??. Haya mambo mawili husababisha Kifo Moja Kwa Moja .
 
Akili zako sasa!!!
Sasa wee imagine shem wetu ajue kiwa na zigo lako lote hilo mzabzab alikuwa analichapa pwa pwa pwa alafu de libolo lilivyochomoka ukairudishia kunako mzabzab niendelee kukamdamiza unadhani atakusamehe
 
Aaahhh kumbe tunashauri mwanaume Mdhaifu sana




Wewe hata kumuwekea misingi mikalikali umeshindwa .. tulia akuchezee sharubu !!.
 
Sasa wee imagine shem wetu ajue kiwa na zigo lako lote hilo mzabzab alikuwa analichapa pwa pwa pwa alafu de libolo lilivyochomoka ukairudishia kunako mzabzab niendelee kukamdamiza unadhani atakusamehe
Hahahaaa!!! Jinga sana wewe!!!
 
Mume wa Bi.Mkubwa mbona yeye amekuwa kimya sana kwenye huu uzi!!
Usimuadhibu mkeo kwa kuamua kutumia kiungo chake atakavyo....
 
Mapoyoyo kama mleta uzi ndio huwa yanaliwa wake zao kirahisi sana.

Wenyewe mwanamke kulia na kuomba msamaha wanaona kama ndo kuoendwa sana😂😂.

Trust me huyu mwamba hawezi kumuacha huyo dem na hivo kajifanya kujiua ndo kabisaa.

Ila kama ningekua mimi wala hata nisingemsikiliza ili kuepusha kesi ningemrudisha tu kwao.

Labda kwa ushauri mkuu, we mwambie aende home kwanza akili yako itulie, then hapo ndo kimoja.
 
Infidelity kwa ndoa za karne imekuwa tatizo kubwa sana.

Kaa na mke wako muyamalize, ukisema umuache huenda ukakutana na kimeo cha kwenda. Hopefully na wewe at some point in your marriage umeshawahi kucheat.[emoji1787]
Story tu hizo, ya mbele hayajulikani. Apige chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…