Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Hata kama umetunga lakini umeipanga vizuri kweli,
N.b-wanawake wote ni Malaya hata aonyeshe uaminifu wa aina gani,ni Malaya tu, MUONYE NA MSAMEHE.
 
Inategemea ntu na ntu asee factor hazifanani!! so siwezi kuwa na majibu ya moja kwa moja!
Tatizo lenu wanawake wengi ni wanafiki tuu....u all have fantasys ambazo mngependa timiziwa ila kikuwaba ni kwamba hamtaki kuonekana kama malaya sijui nini kutokana na jinsi jamii inavyotaka mwanamke ajiendeshe.

Kwenye suala la ndoa...mie nina jamaa yangu alifanya kazi kwenye makammpuni ya kuuza condom na walifanya utafiti ikagubdulika kuwa asilimia kubwa ya wanawake wana cheat waume zao kutokana na ushawishi wa ndalama toka kwa hao wanaume.
Ndio maana nikasema awali kuwa mwanamke youote yule ni wako pale tuu lde libolo limezama kwenye mbususu yake. Akitembea mtaani any man with the right amount of cash anamgegeda tuu
 
Demu ana nyota ya ukahaba huyo. Demu anayejielewa hawezi kugongewa kwenye jumba bovu au vichochoroni
 
Napingaaa!!! Si kweli!!
 
Hii ni chai.

Eti Bi mkubwa. Ukishasikia kijana anasema bi Mkubwa, jua huyo ni muhuni na wala hajaoa.

Katunge story zingine. Hii umetukosa.

hujielewi soma vizuri
 
Asipomfukuza / akimsamehe trust me jamaa atabaki na kinyongo na lazima aje kulipiza !!!

𝐒 𝐰𝐒𝐬𝐑 𝐭𝐨 𝐝𝐨 𝐭𝐑𝐚𝐭
 
Yan ubaya wa mtaani ni kwamba, raia wote wanakuwa wanajua machafu ya mtu wako, kasoro ww tu [emoji28][emoji28]
Na huo ndiyo ukweli,ukija kujua ujue yaani taarifa zilikua zinakuzunguka muda mrefu sana.Watu wa mtaani,wanajuaga mengi sana kabla ya wewe mhusika.
 

asante sana kwa ushauri mzuri [emoji120]
 
Kwa sasa upo na jazba sana bila shaka, naomba mrudishe kwao huyo manzi then utulize akili na kufanya maamuzi sahihi.
 

asante mzee kwa ushauri
 
𝐒 𝐰𝐒𝐬𝐑 𝐭𝐨 𝐝𝐨 𝐭𝐑𝐚𝐭
Kaeni chini mzungumze hilo muendeleze maisha mkuu! Huko unakotaka kwenda siko kabisa utapotea buree!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…