Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Huyo ni mkeo au ni Binti mnaishi pamoja miaka mingi? Kama ni mkeo nahisi hata wewe unamakosa haumridhishi kitandani au haumuhudumii vya kutosha, au ni tabia yake Tangu zamani ya kupenda watu wa Rika la baba yake.
Nakushauri mkakutane wote 4 mkeo amuombe msamaha yule mama mbele ya mume wake na mume wake huyo mama amuombe mkewe msamaha, na wewe na mkeo nyie mtayamaliza mkirudi nyumbani akueleze ilikuwaje akaanza mahusiano na huyo Mzee na akawa Hadi analiwa kwenye kitanda Cha huyo Mzee, na usikute hata huyo Mzee huwa anaingia kitandani kwako na kumla mkeo
 
Msamehe afu usiongelee hilo tena endelea na maisha. Fanya kama hujui kitu vile
 
Pole mkuu. Ila duuh km ni kweli umezubaaa mno.
 
Muacheeee..mwanamke akisha anza kuliwa adi vichochoroni.majumbani na bafuni jua ni malaya uyo
 
Kwanza pole sana mkuu, pili kwa kawaida hayo ni ambayo umeyafahamu lakini je usingefahamu au kuitwa unafikiri angekuja siku moja kuomba msamaha na kukiri makosa? Wangeendelea kutifuana mpaka tigo hao ndugu yangu sipendi kushauri kabisa kuhusu mahusiano lakini hapo hakuna mwanamke achana nae mpaka kumvulia mwanaume mwingine chupi kwenye majumba mabovu huoni amedharirisha sana utu wake na wako? Hivi ingekuwaje kama angefumwa na wapita njia huko machakani? ACHANA NAE
 
kama mwanaume mwenzako ,nmekuelewa vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…