Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Hii ni chai.

Eti Bi mkubwa. Ukishasikia kijana anasema bi Mkubwa, jua huyo ni muhuni na wala hajaoa.

Katunge story zingine. Hii umetukosa.
[emoji23][emoji23]
 
Pole
 
NImeipenda hiyo...kama alikuwa anataka kuniua asingesubiri jamaa arudi...Mkwara tu huo?
 
Msamehe tu. Ila hakuna kuendelea nae. Mwanamke msaliti aachwe Mara moja
 
Huyo ameshajiua muda mrefu.

Aidha usamehe au usisamehe, unaishi na mfu hapo.
 
Yani sijui maisha hua yana nin jamani..... Mim mtu akicheat na nkaona sms kwa sasa siumii kabisa kabisa kabisa.....na hua namkumbusha atafute mwanamke ambae ananizid baadhi ya vitu na hua nasisitiza atumie kinga basi.... Kwa sasa maisha ya maumivu nishasahau kabisa....... Lkn swala la mwanamke kucheat linatakiwa liangaliwe kwa kina, huenda mwanamke anatabia za kimalaya au amerithi huko kwao.... Chunguza ukoo wao watu walioachika wameachika kwa sabbu gani jibu utakalopata.... Utafanya maamuzi na moyo wako kimya kimya Alf badae sana ndo utamshirikisha mkeo ulichoamua.... Kwa sasa usijiumize sana kichwa maan hali ni ngum vitu vinapanda bei kila siku![emoji16]
 
MUACHE HARAKA SAANA
 
Hii coment yangu ningekuwa na uwezo ningeiweka kama stiky pale kila mtu akawa anaiona. Nimeiseme mara nyingi na leo nasema tena 👇

KOSA LA MWANAMKE KUCHEPUKA HALISAMEHEKI, HALISAMEHEKI HATA ASHUKE MALAIKA. NARUDIA TENA KOSA HILO HALISAMEHEKI WALA HALIVUMILIKI. HAPANA HAPANA HAPANA
 
Hivi kweli ukiwa umepata haya utakumbuka na kuandika mpaka nukta kwa kweli uongo mmezidi Sana Hadi aibu

Daah
 
Infidelity kwa ndoa za karne imekuwa tatizo kubwa sana.

Kaa na mke wako muyamalize, ukisema umuache huenda ukakutana na kimeo cha kwenda. Hopefully na wewe at some point in your marriage umeshawahi kucheat.[emoji1787]
Hili la kusema nimeshawahi ku cheat na mke wangu a cheat huo ni upumbavu kujilinganisha na mwanamke, hujui wao wanazaa watoto?
Acheni kumkufuru Mungu maana marafiki zake walikuwa na wanawake wengi na aliwabariki Sana,
Ibrahim
Sueiman
Muhammad
Nk nk. Hakuna sehemu mke alikuwa ma waume wengi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Rekebisha heading wewe boya, sema anatembea na mume wa mtu siyo alitembea na mme wa mtu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…