Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

...Simple, ungemuacha ajichinje!!...
 
Pole sana. Kiutu uzima ondokeni eneo la tukio muende mbali na umsamehe kisha ndio ufanye maamuzi ya kumuacha ua kuendelea nae.

Uzinzi upo na unafanywa na binadamu kama sisi. Cha msingi angalia sana maisha yenu baada ya hili yaendelee na sio kuyakatisha
 
For the sake of your peace , muache huyo mkeo endelea na maisha yako [emoji1666]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mahondaw naomba nami nikongolii kidogo basi..!
🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️!
 
Mleta mada mlete kwangu mkeo nimpe dawa ya kutowashwa huko chini kwake.
Namuweka password utakuwa unafungua mwenyewe tu.
 
Jinyamazie ni Jibu tosha. Mwanamke ataachwa kwa uzinzi tu ila kama nawe ulikuwa wazini basi samehaneni muanze upya. Shetani ni yule yule jana na leo
 
Usimuache kwa sasa nenda taratibu akili ikishakubali na ikisha kaa sawa muache uendelee na maisha yako.
 
Duh kweli ndugu yangu umeisha wamekushika pabaya ushauli wann apo unataka wakati majibu unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…