🤣🤣🤣🤣ila wewe mzee nimecheka kwa sautii..Kama Mariam nisaulie, mshangazi nginjanginja wa ngoma baikoko anaezungusha uno kabebelea kisinia kwa kona ya tako alirudishwa na mumewe, sembuse huyo wakwako....😜
Alishakuweka kwenye Mfumo wake kitambo sana, ndio maana bado unahangaika, katokea kuliwa wazi wazima akarudi na utampokea, Mzee huna chaguo tena mpaka hapoHabari ndugu zangu... nimerudi tena...
Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa
Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya kuondoka kwangu,,,alikaa kwa Mama yake siku Moja tu akamtoroka Mama yake,,,akaenda kufanya kazi,,,na hayo maelezo alinambia huyo Mama MKwe,,, kwamba Mwanae amemtoroka anasikia amepata kazi mahala anafanya kazi...,,,
Mimi nikasema sawa tumuache afanye kazi...
Baada ya Siku kama 5 kupita...nikawa napigiwa Simu na huyo MKE wangu akiwa ananisalimia....,, Kuna muda nilikuwa napokea Simu zake Kuna muda nilikuwa naziignore... Uzuri alipokuwa ananitafuta ndo nilikuwa nampokea...
Ilifika kipindi nikawa sipokei,,,Wala kumjibu sms zake...
Wakati wa maongezi na yeye alikuwa ananiambia kuwa amepata kazi ya kuhudumu kwenye Hotel mahala wilaya nyingine,,kazi anayofanya anataka aifanye kwa Mwezi miwili hivi aachane nayo...mimi nikawa namjibu sawa...ni vyema endelea...yaaani kiufupi nilikuwa simpapatikii kwa lolote,,,maana Kuna muda alikuwa ananitumia picha zake akiwa kazini ,,kwa njia ya Whatsapp kwa kutumia màrafiki zake... mimi nikawa Wala sijali.. nafanya kama sijaona
SAsa imepita Mwezi 1 na Nusu,,, alinipigia Simu na kutaka tuonane Kuna jambo anataka tuzungumze ana kwa ana... mwanzoni nilikuwa namkwepa ... Baada ya kunisumbua sana nikamruhusu tuonane...s
Alifunga safari Wilaya nyingine aliyokuwepo kuja Nilipo..
Nilitafuta sehemu tulivu..tofauti na Nyumbani kwngu...akaja nikaonana nae...
Mambo aliyonieleza..
1.Anaomba msamaha kwa aliyofanya.. alitumia jaziba kuondoka,,,hakutaka kujishusha
2.Amegundua umuhimu wangu baada ya kuwa Mbali namimi
3.Anataka mtoto apate malezi ya Baba na Mama
4.pia ameona hata nikisema simtaki tena tuachane,,,akaenda kuolewa kwingine ,Hataki kuwa na matabaka ya watoto,,kila mtoto na Baba yake,,,Anaona sio nzuri kwenye familia,,
5.yuko tiyari kwenda kwa wazazi,, wote wa pande mbili,,, kuwaomba msamaha kwa mambo yote...na maamuzi aliyofanya hapo mwanzo...
Baada ya kusema hayo... ameniambia anarudi huko anapofanyia kazi ,,akamilishe vilivyobaki ,,,alipwe na posho yake ya Mwisho... aachane na kazi hiyo ,,,aende kwa Wazazi wangu...baadae na Wazazi wake...kuwaomba msamaha,,,Yuko Tiyari kurudi kwenye familia yake kulea mtoto wake...Muda aliyokuwa Mbali na familia Amegundua umuhimu wangu na ameahidi hatorudia..
Ndugu zangu...mnanipa ushauri Gani...
MsameheHabari ndugu zangu... nimerudi tena...

Huyu anachekechwa hatarii na Huyo mwanamke. Kijana ana udhaifu flani na Huyo ke ameshajua pa kumbinya alegeze. Huyu hata Mimi ni ke Ila namzidi kukaza...Kwa wale ambao walipitwa na nyuzi mbili kuu za mtoa mada;
1. Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi
2. Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi
3.MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi
4. Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi
5.
Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena
Yeah, mwanamke ameshajua kucheza karata za jamaa. So hizi habari za yeye kwenda kuomba msamaha n.k ni settings tu mke anazifanya sababu anajua jamaa ataamini kirahisi. Next move ni mwanamke kutoomba msamaha tena sababu anajua ameshauwin moyo wa mwanaume kwa 100%.Huyu anachekechwa hatarii na Huyo mwanamke. Kijana ana udhaifu flani na Huyo ke ameshajua pa kumbinya alegeze. Huyu hata Mimi ni ke Ila namzidi kukaza...
Amrudie tu kwakweli
ukisikia kufa kuoza ndo huku,, mwanaume unatapa tapa kama bata,, usikute ushamrudia ila umekuja kutuchora
huyu tushamzoea, siku kadhaa za nyuma alileta nyuzi za malalamiko watu wakamshauri wakamwambia hapendwi na yeye akasema atafuata ushauri,, amekaa siku mbili tatu si akarudiana na bby mama wake, akaleta uzi mwingine watu wakatia neno yakaisha, wamekaa kidogo mwanamke akarudia yale yale na jamaa karudi huku akasema ndo mwisho hawezi kumsamehe tena, ila ona mwez mmoja tu amesharudi kusema kaombwa msamaha😅😅😅