Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

Yeah, mwanamke ameshajua kucheza karata za jamaa. So hizi habari za yeye kwenda kuomba msamaha n.k ni settings tu mke anazifanya sababu anajua jamaa ataamini kirahisi. Next move ni mwanamke kutoomba msamaha tena sababu anajua ameshauwin moyo wa mwanaume kwa 100%.

Kama kuna kosa kubwa ambalo jamaa anaweza akalifanya na likamuondolea amani ktk ndoa yake kwa miaka ijayo, ni kukubali michezo ya huyo anayemuita mke wake while kuna wanaume wenzie wameshamchukulia mke tayari.
Huyu ana uf@/la mwingi asisumbue watu
 
huyu tushamzoea, siku kadhaa za nyuma alileta nyuzi za malalamiko watu wakamshauri wakamwambia hapendwi na yeye akasema atafuata ushauri,, amekaa siku mbili tatu si akarudiana na bby mama wake, akaleta uzi mwingine watu wakatia neno yakaisha, wamekaa kidogo mwanamke akarudia yale yale na jamaa karudi huku akasema ndo mwisho hawezi kumsamehe tena, ila ona mwez mmoja tu amesharudi kusema kaombwa msamaha😅😅😅

hawa sio wa kuachana leo hebu tusimalize nguvu
Wengi wanamponda mtoa mada, ila najiuliza kwanini mwanamke karudi kwa huyo mwanaume😁, si ange-focus na huo mchepuko wake na iyo kazi aliokua anaiona bora kuliko mumewe, kwani alivoondoka mwanzo alikua hajui watoto watahitaji malezi ya baba na mama win-one cacutee
 
Kama hujawahi mfumania na mwana mkuu, beba kapime ukimwi na mimba, muache mwezi Moja bila tendo la ndoa Hadi miezi mitatu alafu mkapime tena ka mwanzo akiwa swafi ichape mkuu maisha yenyewe mafupi haya, akzingua tena vuta mtoto mbichi fasta endelea kuchakarika
 
Sijasoma makala kabisa ila nakumbuka kuna mzee wangu alisema nanukuu"mwanamke aliyeondoka kwenye ndoa yake mwenyewe na ukamwambia asiondoke,basi hakikisha harudi hata akija kuomba msamaa na ukoo wake wote.
Huu ndo ukweli wenyewe japo kwake utakuwa mchungu nakazia mwanamke aliyeondoka kwenye ndoa yake harudiwi
 
huyu tushamzoea, siku kadhaa za nyuma alileta nyuzi za malalamiko watu wakamshauri wakamwambia hapendwi na yeye akasema atafuata ushauri,, amekaa siku mbili tatu si akarudiana na bby mama wake, akaleta uzi mwingine watu wakatia neno yakaisha, wamekaa kidogo mwanamke akarudia yale yale na jamaa karudi huku akasema ndo mwisho hawezi kumsamehe tena, ila ona mwez mmoja tu amesharudi kusema kaombwa msamaha😅😅😅

hawa sio wa kuachana leo hebu tusimalize nguvu
Naona bado hajakomaa kiakili.
 
Du mkuu asante sana na kufanya kazi ya kutuwekea link za hivi visa vya mahoka. Nilikuwa sijasoma nyuzi zake za siku za nyuma. Hii inaonekana ni ndoa typicalyl ndoa ya uswazi. Ndizo zinakuwa na wanandoa wa aina hii. Kuondoka nyumbani siyo issue, kugegedwa na jirani siyo issue, kuomba msamaha siyo issue, kudanganywa na mashoga siyo issue....
 
Wengi wanamponda mtoa mada, ila najiuliza kwanini mwanamke karudi kwa huyo mwanaume😁, si ange-focus na huo mchepuko wake na iyo kazi aliokua anaiona bora kuliko mumewe, kwani alivoondoka mwanzo alikua hajui watoto watahitaji malezi ya baba na mama win-one cacutee
Huyo mwanamke ni wale wanawake wa uswazi. Akili zao zinatosha kuvuka barabara tu. Mashoga na mashosti ndiyo huendesha maisha yao. Akiambiwa kaskazini ndiko kwenye neema, anakimbilia huko, akiambiwa geuka anageuka. Akiwa njiani kwenda gengeni ukimsomesha kidogo, unaingiza guest. Hayo ndiyo maisha yao ya ndoa.
 
Back
Top Bottom