Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,675
Huyu ana uf@/la mwingi asisumbue watuYeah, mwanamke ameshajua kucheza karata za jamaa. So hizi habari za yeye kwenda kuomba msamaha n.k ni settings tu mke anazifanya sababu anajua jamaa ataamini kirahisi. Next move ni mwanamke kutoomba msamaha tena sababu anajua ameshauwin moyo wa mwanaume kwa 100%.
Kama kuna kosa kubwa ambalo jamaa anaweza akalifanya na likamuondolea amani ktk ndoa yake kwa miaka ijayo, ni kukubali michezo ya huyo anayemuita mke wake while kuna wanaume wenzie wameshamchukulia mke tayari.
Unamzidi kufanya nini?Huyu anachekechwa hatarii na Huyo mwanamke. Kijana ana udhaifu flani na Huyo ke ameshajua pa kumbinya alegeze. Huyu hata Mimi ni ke Ila namzidi kukaza...
Amrudie tu kwakweli
Wengi wanamponda mtoa mada, ila najiuliza kwanini mwanamke karudi kwa huyo mwanaume😁, si ange-focus na huo mchepuko wake na iyo kazi aliokua anaiona bora kuliko mumewe, kwani alivoondoka mwanzo alikua hajui watoto watahitaji malezi ya baba na mama win-one cacuteehuyu tushamzoea, siku kadhaa za nyuma alileta nyuzi za malalamiko watu wakamshauri wakamwambia hapendwi na yeye akasema atafuata ushauri,, amekaa siku mbili tatu si akarudiana na bby mama wake, akaleta uzi mwingine watu wakatia neno yakaisha, wamekaa kidogo mwanamke akarudia yale yale na jamaa karudi huku akasema ndo mwisho hawezi kumsamehe tena, ila ona mwez mmoja tu amesharudi kusema kaombwa msamaha😅😅😅
hawa sio wa kuachana leo hebu tusimalize nguvu
Huu ndo ukweli wenyewe japo kwake utakuwa mchungu nakazia mwanamke aliyeondoka kwenye ndoa yake harudiwiSijasoma makala kabisa ila nakumbuka kuna mzee wangu alisema nanukuu"mwanamke aliyeondoka kwenye ndoa yake mwenyewe na ukamwambia asiondoke,basi hakikisha harudi hata akija kuomba msamaa na ukoo wake wote.
Naona bado hajakomaa kiakili.huyu tushamzoea, siku kadhaa za nyuma alileta nyuzi za malalamiko watu wakamshauri wakamwambia hapendwi na yeye akasema atafuata ushauri,, amekaa siku mbili tatu si akarudiana na bby mama wake, akaleta uzi mwingine watu wakatia neno yakaisha, wamekaa kidogo mwanamke akarudia yale yale na jamaa karudi huku akasema ndo mwisho hawezi kumsamehe tena, ila ona mwez mmoja tu amesharudi kusema kaombwa msamaha😅😅😅
hawa sio wa kuachana leo hebu tusimalize nguvu
Hii ndio JF VAR CHECK,Kwa wale ambao walipitwa na nyuzi mbili kuu za mtoa mada;
1. Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi
2. Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi
3.MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi
4. Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi
5.
Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena
Kuwa na msimamoUnamzidi kufanya nini?
Du mkuu asante sana na kufanya kazi ya kutuwekea link za hivi visa vya mahoka. Nilikuwa sijasoma nyuzi zake za siku za nyuma. Hii inaonekana ni ndoa typicalyl ndoa ya uswazi. Ndizo zinakuwa na wanandoa wa aina hii. Kuondoka nyumbani siyo issue, kugegedwa na jirani siyo issue, kuomba msamaha siyo issue, kudanganywa na mashoga siyo issue....Kwa wale ambao walipitwa na nyuzi mbili kuu za mtoa mada;
1. Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi
2. Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi
3.MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi
4. Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi
5.
Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena
Huyo mwanamke ni wale wanawake wa uswazi. Akili zao zinatosha kuvuka barabara tu. Mashoga na mashosti ndiyo huendesha maisha yao. Akiambiwa kaskazini ndiko kwenye neema, anakimbilia huko, akiambiwa geuka anageuka. Akiwa njiani kwenda gengeni ukimsomesha kidogo, unaingiza guest. Hayo ndiyo maisha yao ya ndoa.
Umefanya jambo la maana sana. Huyu jamaa mada zake ni za kujirudia rudia! Mrejesho mke wangu amekimbia... Mrejesho mke wangu amerudi....!Kwa wale ambao walipitwa na nyuzi mbili kuu za mtoa mada;
1. Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi
2. Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi
3.MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi
4. Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi
5.
Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena
Hahaha mchepuko akishakula papuchi, hamjali tena huyo mwanamke kwa jambo lolote, kazi yenyewe mshahara haueleweki, mwanamke anaona bora arudi alikopaacha 😂 cacuteeHuku nje kugumuu acha tu
Kosa walivyoonana waongee walipeana mzigo. Kosaaaaaa.Huyu anachekechwa hatarii na Huyo mwanamke. Kijana ana udhaifu flani na Huyo ke ameshajua pa kumbinya alegeze. Huyu hata Mimi ni ke Ila namzidi kukaza...
Amrudie tu kwakweli