Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Mwanamke kunenepa hakutokani na kula, amani ya moyo tu inamtosha kuridhika na kunenepa, kiufupi mkeo hana stress, na kwa sababu amekuwa mke wako kubaliana na matokeo, Upendo wa kweli haunaga sababu, ulimuoa akiwa modo ukifuatilia kujua kama kwao ni mamodo?
 
Kama hupendi mabonge, mpandishe cheo awe mke mkubwa mkuu.
 
Nathibitisha kuwa kwao hakuna mabonge, sijamchoka eti kisa ni bonge ila nataka apungue aendelee na umodo wake sivutiwi na mabonge hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…