Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
mazoez ni mhimu pia.Sawa kiongozi nitamshauri
mazoez ni mhimu pia.Sawa kiongozi nitamshauri
Hebu hukooNitakufundisha jinsi ya kukabia kwa juu hilo naliweza
Huenda mwenyewe anasifiwa na bisheste wake so be proud or die tryingWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Usimpe mtihani asiouweza acha kila kiti kiwe kilivyoNishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalala
kubali kuwa ni mabadiliko ya mwili.Nishamwambia hata yeye hajui afanyeje maana kama ni kula sio sana anaweza kula mara moja tu mchana akalala
sasa unashangaa nini?Ndio, mmoja
Sio ubinafsi kwanini kitu apendacho mtu kiwe ubinafsi vizuri ni vipi kuficha ukweli mwisho wa siku nimchiti na vipotabo ninavyoviona na wengi kati ya vipotabo hivyo wana watotosasa unashangaa nini?
Yani awe na mtoto asibadilike umbile?
Ila wanaume wengine mu wabinafsiiii!
Hao wanaomsifu mimi hawanihusu kila shetani na mbuyu wake uzuri wake nampenda na anainjoy hiyo yenyewe kumwambia apunguze mwili ni kimahaba zaidi hadi mwenyewe anacheka tatizo ni hapungui as days goHuenda mwenyewe anasifiwa na bisheste wake so be proud or die trying
Mkabidhi Sheikh KipozeoWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
All the bestSio ubinafsi kwanini kitu apendacho mtu kiwe ubinafsi vizuri ni vipi kuficha ukweli mwisho wa siku nimchiti na vipotabo ninavyoviona na wengi kati ya vipotabo hivyo wana watoto
Sasa kinyago kinamtishaUmemlisha mwenyewe