Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana

Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana

Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote


TUMWONE PICHA YAKE. NITUMIE NAMBA YA SIMU NIMPE MAFUNZO YA KUTENGENEZA SHAPE.
 
Aisee sasa raha yake iko wapi? Kwanza ni wazito kila style kwao ni mateso pia hawawezi kukaa mkao mmoja zaidi ya dk10 viungo vinamuuma labda kifo cha mende tu na pia miguu usiinue juu sijui mnawapendea nini
 
Hiyo ndio shida ya wanawake. Ni wepesi kujisahau ila wepesi pia kulaumu waume zao ambao nao wanakuwa vibonge wenye vitambi. Wanasahau wao ndio wanatenveneza hivyo vitambi kwa kucbelewesha vyakula kuliwa saa 4 usiku
Kweli kabisa mkuu wanapenda kulea miili bila sababu
 
Back
Top Bottom