Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
matukio yanini bwan,kam umemwambia kistaarabu hajaelewa fokaaaa had ajue upo serious,huwa hazikosekani mbinu za kupunguza mwiliHili la shoo sina uhakika nalo maana kwenye hilo swala huwa hadi ananiona kero na kawa mvivu kweli ila ubonge ni uleule
Kwenye kuridhika hapo ni kweli, ila sasa ushauri wako ni nini au nianze masimango apunguze kuridhika au nimpige matukio kama wengine wanavyosema humu?