Sijakuelewa mkuu nani na chibonge?Bila shaka uliomtag ni chibonge kama pipa😅
waifu material nasikia alikuwa chibonge wa kwendaSijakuelewa mkuu nani na chibonge?
Hahahaha umesema mke sio mlaji sana wa chakula,basi anakukula wewe ki namna fulani ndoman ye ananona we hunoniWewe kama ni modo kaa mkao wa kula sipendagi vibonge modo flan ivi kipotabo ndio zangu
Sijanona wala sijakonda yaani siwezi ishiwa pawa
Ndo shida ya watoto wadogo kuoa so ulitegemea aendelee kuwa modo......Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Hivi utoto mwisho miaka mingapi ili nijue kama na miaka yangu 40 bado ni mtoto au mtu mzimaNdo shida ya watoto wadogo kuoa so ulitegemea aendelee kuwa modo......
Nae akisema anapenda wenye nywele baaadae wewe utapoota kipara cha uzee
amani ya moyo mzee unayompa na chakula tosha na kuridhika........nkHebu fafanua kidogo huenda kuna mahali nakosea, ananikula kivipi yani
Hapo sawa nikajua kazi ninayompiga inamnenepesha nipunguzeamani ya moyo mzee unayompa na chakula tosha na kuridhika........nk
wapo wanaokula sana pia na hawanenepi kwaio ni kawaida,, mfano mimi huwa nanenepa nikiridhika tuu kuna mwili huwa naupata,ila nisiporidhika hata nile vipi hakuna kituHapo sawa nikajua kazi ninayompiga inamnenepesha nipunguze
Ila ukweli karidhika tatizo sasa anafumuka sana kuridhika gani huko mbona kuna warioridhika ila hawawi vibonge matukunyema
Hili la shoo sina uhakika nalo maana kwenye hilo swala huwa hadi ananiona kero na kawa mvivu kweli ila ubonge ni uleulewapo wanaokula sana pia na hawanenepi kwaio ni kawaida,, mfano mimi huwa nanenepa nikiridhika tuu kuna mwili huwa naupata,ila nisiporidhika hata nile vipi hakuna kitu
Kuhusu shoo ikizidi anakonda mbona, endeleeni ivo ivo kwa afya🙂🙂