Hapana mkuu ni mafunzo kwa vitendo huenda nataka nifundishwe mieleka
😀😀😀😀 Hapan aiseee mim wangu kama plofile ya 👉👉 wife materialMkuu nawewe una mke bonge kama mimi mapema hii
Huyo ndio mzuri sasa yani hata ukitaka awe sifuri kunako 6×6 akuwa tena bila maumivuTubadilshane nikupe kimbaumbau changu? Kakilala kitandani unaweza ukamkalia bila kujua kuna binadamu...halafu hata umlisheje hutaona mabadiliko
Halafu kana makusudi, jana nilimwambia "Mpaka mtoto wako amekuzidi uzito" akanichunia nikamletea chips na mishikaki 6 anayopendaga akanisusia leo akagoma kwenda Jumuiya...sijui nimsemee kwa MunguHuyo ndio mzuri sasa yani hata ukitaka awe sifuri kunako 6×6 akuwa tena bila maumivu
Chips zina mafuta mengi hizo mkuu usimpe shauri yako ngoja aje awe tumsoHalafu kana makusudi, jana nilimwambia "Mpaka mtoto wako amekuzidi uzito" akanichunia nikamletea chips na mishikaki 6 anayopendaga akanisusia leo akagoma kwenda Jumuiya...sijui nimsemee kwa Mungu
Nakuonea wivu mkuu yani kitu kipotabo aloooohHalafu kana makusudi, jana nilimwambia "Mpaka mtoto wako amekuzidi uzito" akanichunia nikamletea chips na mishikaki 6 anayopendaga akanisusia leo akagoma kwenda Jumuiya...sijui nimsemee kwa Mungu
Kuwa gym master wa mkeo, apungue😎Safi naomba niwe gym master wako