Kumbe viazi vitamu na magimbi sio wanga? Ziada ya elimu nimepata hapaPunguza kula wanga (Wali na Ugali) na ujikite zaidi kula Viazi vitamu, magimbi, maboga, ndizi, nyama, mayai na mboga za majani.
Pili acheni kabisa matumizi ya Sukari (Chai) na mlo wote wa asubuhi achaneni nao, kwasiku muwe mnakula mara mbili zinatosha kabisa, na jioni hakikisheni mnakula around saa mbili usiku.
Akifanya haya, atakuwa amepunguza asilimia 70% za tatizo lake.
Be a Man, msimamie kwenye kuyatimiza hayo.
Mvumilie Tu,azae watoto mnaowataka ndo aanze program za kupunguza mwili!Ndio, mmoja
Huwa mnaratiba ya mazoezi.niko seriouslyNi mojawapo lakini pia napenda vimodo kuliko mabonge wananishawishi sana
Wanawake wakiafrika ndivyo walivyo wakiolewa wanaridhika na maisha ni kujinenepeana tu kama vibokoWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Taasisi ya ndoa tunalaani, hizi akili zako. Anyway Mwambie halafu muweke Schedule zenu upya za mtindo wa maisha kiujumla.Ni mojawapo lakini pia napenda vimodo kuliko mabonge wananishawishi sana
Ubonge hauletwi na kula vya mafuta ,piga marufuku kula wali,ugali ,soda ,vitafunwa vya ngano(msikate ,skonzi,chapati etc).Chagua matunda kuleni parachichi ,Kula magimbi,viazi vitamu,mihogo ,ndizi .Pia msinywe chai asubuhi ,kula ni kuanzia saa nane mpaka saa mbili usikuWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana
Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
PIGA VIBOKO AU TIMUA HUO NI UZEMBE MKUBWA SANAWakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana