Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Nimekuelewa kiongozi nitamshauri hilo
Kwanza siri ya kwanza ya kuchangia kupunguza unene au vyanzo vya unene ni mlo sahihi big up Ndondombi Mulin umepita mulemule.

Pili watu wengi huwa hawaamini.Ni vyema kuamka saa kumi na nusu alfajiri.hii inamfanya mtu akate usingizi ghafla,kunapunguza muda mwingi wa mapumziko ya mwili lakini kunachangia kuongeza uchovu solution kunywa maji mengi.

Tatu tenga walau dakika 45 kila siku haswa asubugi kwa kufanya mazoezi k.v jogging,aerobic,boxing,Yoga,football,cardio Canvas,tread'n'shred,meditation in totally n.k.

ukweli ni kwamba "UKISHINDWA KUUHANDLE MWILI,UTASHINDWA KUYAHANDLE MAISHA".
 
Tatizo jamaa hawezi kumudu wake wawili mkuu mana mke mmoja tu hapigi show ya kutosha mwanamke yoyote anay fanya tendo mara kwa mara hawezi kunenepa kwa fujo kamwe
Mpandishe cheo awe mke mkubwa.
 
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana

Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana

Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Umemlisha mwenyewe
 
Okay for the purpose of body increase or decrease depends on how you maintain your body insufficiently daily life.
Sasa hapo kuna tofauti gani na nilichokiandika mimi mkuu, au kisa umetia umalkia??
 
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana

Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana

Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Umemlisha mwenyewe
 
Anayetaka mkewe apungue 😹😹
 

Attachments

  • IMG_5754.jpeg
    IMG_5754.jpeg
    86.6 KB · Views: 23
Najua, lakini hujui wanawake wakianza uzazi mwili unaongezeka japo si wote! Kwani wewe upo vile vile tangia uoe? Siku nawewe kichuguu kikimea utafanyaje!😅
Kichuguu gani tena kiongozi 😅
 
Umalkia wapi itakuwa language alafu hata nilicho kiandik hapo sikielew
Basi ndo ujue hivyo, kama wewe ni bonge, mwili jumba ama tukunyema amini unaweza kua mwembamba vizuri tu, na kama ni mwembamba unaweza kua bonge vizuri tu.
 
Back
Top Bottom