Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Nilimwambia hivi hivi Mke wangu, kwamba kanenepa sana na sipendi huo mwili, alijaribu mazoezi akashindwa akaanza kula kwa diet, mwisho wa Siku alipata vidonda vya tumbo akalazwa,
Duuh mbona wanitisha kiongozi
 
Yuko na amani ndani ya ndoa.

Anatumia uzazi wa mpango.

Anakula vyakula vyenye carbohydrates sana.

Mwisho kabisa, kama una tatizo na vibinge tuachie sisi, hizo nyama ni tam kuliko.
Hatumii uzazi wa mpango ila amani ndani ni ya kutosha

Mkuu matukunyema mimi sio vitu vyangu japo mimi sio big lakin mabonge hapana
 
Hufanyi nae mapenzi mara kwa mara ndo mana

Unatakiwa umchape kisawasawa sawa sio kimoja tu chali hapo lazima afumuke
Hii nabisha shoo nimemgonga sana wakati akiwa modo yani ilikuwa full burdani alivyoanza kunenepa kawa mvivu ukipiga mara moja kwenda round ya pili hawezi yani kawa mzembe hadi anaboa movement hakuna kabisaa
 
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana

Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana

Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Mletee gym tukuonyeshe njia
 
Mpige matukio atapungua chap kwa kukosa appetite
 
Vipi k yake ni nyeupe na ina mavuzi mafupi?if yes niachie mimi huyo.
 
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana

Mazoezi ya kutembea anafanya kwakuwa tunapofanya kazi na tunapoishi kuna umbali kidogo huwa tunaenda kwa miguu na kurudi kwa miguu hili tunafanya kama zoezi ila bado haisaidii kitu. Pia sio watu wa kula vyakula vya mafuta sana

Hebu nipeni ushauri wadau nifanyeje na kwa wadada pia ushauri wenu muhimu mnafanyaje kuendelea kubaki mamodo siku zote
Jaribu kumpıma afya yake kisiri siri, kama hana sukari basi atakuwa anakula dozi ya gridi la taifa
 
Hii kitu huwa naiogopa sana, mbaya zaidi wale wembamba wakinenepeana wanakua hovyo sana, wanawakua hawana umbo zuri, wananenela kila kiungo.

Pole mkuu, mwambie aanze diet na mazoezi, utukunyema hauvutii.
Tukunyema jau sana kwanza ni wavivu balaa
 
Akisanuka si ndoa inaweza kusambaratika
We si ndo Kazanazo Unakaza tu ata akijua,ila mkuu unajipa stress tu akiwa kibonge ndo safi unakua huna ushindani na wahuni hivi vimodo vinapigwa mitongozo sana kiasi kwamba unakosa hata hamu ya kuwa nacho ata kama ni mke.sema mabonge kutembea nayo njiani ni kero Sana.
 
Back
Top Bottom