Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Jamanii kwani wa kiafrica hamuwapendi??hao wakizungu wana tofauti gani na wa kiafrica??
Wakizungu niwazuri mnoooo ukiwapa mafunzoo wanaelewaaa, pili wanakuwa kwa haraka km ukijua kuwatunza vyema, alafu ni wakubwaa mnooo yani karibu wawe km ndama wa Siku tano
 
Wakizungu?

Hivi mbwa wa kizungu anakuaje..?! Na una mjuaje kuwa huyu ni wakizungu na huyu wa kibongo?! Kwani kuna species za mbwa wa kizungu na nyengine za kiafrika (or hata kitanzania)
Mwenye mfano wa mbwa wa kizungu na kiafrika wanaofugwa majumbani mwetu nawaomba walete picha na majina yao...
Rudi nyuma kuna post zenye picha utawaona wakizungu na wakiafrika, nadhani wakiafrika unawajua basi hizo picha nadhani utaweza kuzitofautisha
 
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu

Mkuu huwa unaenda chumvini kwa mkeo?
Kama huwa huendi kuna theoriz hapa zinajileta (Ila kama tu huwa huendi uvinza) ambazo sio nzuri kwa afya ya moyo na akili yako.
Anyways, labda anahitaji kwa ajili ya ulinzi.
 
Mkuu huwa unaenda chumvini kwa mkeo?
Kama huwa huendi kuna theoriz hapa zinajileta (Ila kama tu huwa huendi uvinza) ambazo sio nzuri kwa afya ya moyo na akili yako.
Anyways, labda anahitaji kwa ajili ya ulinzi.
siri ya ndani mkuu
 
Mm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Penda vyenu, i.e mbwa koko, vya kizungu waachiwe wazungu, wasanii wakiwatumia video qeens wa kidhungu povu linawatoka ila nanyi bila aibu mnapenda mbwa wao wa kizungu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom