Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sawa umesikikaFuga hata ndevu mkuu ukikosa kijibwa
Hata huyu mbwa ananilinda usikuFuga kuku ule angalau mayai [emoji23][emoji23][emoji23]
Akuuu bata wachafu, lbd kukuUnapenda mbwa..! Je na bata
Wakizungu niwazuri mnoooo ukiwapa mafunzoo wanaelewaaa, pili wanakuwa kwa haraka km ukijua kuwatunza vyema, alafu ni wakubwaa mnooo yani karibu wawe km ndama wa Siku tanoJamanii kwani wa kiafrica hamuwapendi??hao wakizungu wana tofauti gani na wa kiafrica??
Alafu we naona kuna kitu unachokitakaHao wanaweza pia kuwa dawa ya hizo chuchu zinamuuma... ..nyoka mzee anakuja sasa hivi utapata dawa
Rudi nyuma kuna post zenye picha utawaona wakizungu na wakiafrika, nadhani wakiafrika unawajua basi hizo picha nadhani utaweza kuzitofautishaWakizungu?
Hivi mbwa wa kizungu anakuaje..?! Na una mjuaje kuwa huyu ni wakizungu na huyu wa kibongo?! Kwani kuna species za mbwa wa kizungu na nyengine za kiafrika (or hata kitanzania)
Mwenye mfano wa mbwa wa kizungu na kiafrika wanaofugwa majumbani mwetu nawaomba walete picha na majina yao...
QakizunguWapo wengi una penda mbwa wa aina gani?
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Sasa kama umejua nina kitu nakitaka si unipe.Alafu we naona kuna kitu unachokitaka
siri ya ndani mkuuMkuu huwa unaenda chumvini kwa mkeo?
Kama huwa huendi kuna theoriz hapa zinajileta (Ila kama tu huwa huendi uvinza) ambazo sio nzuri kwa afya ya moyo na akili yako.
Anyways, labda anahitaji kwa ajili ya ulinzi.
sina hakikaMkeo ana nyota ya Wema ya kupenda vijibwa
nahisi kaona hivi viporo vinazagaa hakuna wa kula na kumbe hawali viporoAtakiweza au anageza tu?
masikhara mkuuKwa jinsi navyopenda mbwa ningemletea mbwa watano kabisa.
Penda vyenu, i.e mbwa koko, vya kizungu waachiwe wazungu, wasanii wakiwatumia video qeens wa kidhungu povu linawatoka ila nanyi bila aibu mnapenda mbwa wao wa kizunguπππππππππππMm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Sio kulala ila kulamba papuchiiihataki hawa wa kuwindia anataka hao wa kulala kitandani