Mke wangu amejifungua mtoto wa kike nimpe jina gani zuri?

Mke wangu amejifungua mtoto wa kike nimpe jina gani zuri?

ally kazembe

Member
Joined
Jun 10, 2018
Posts
40
Reaction score
26
Mimi ni kijana wa miaka 23 huyu ndo mtoto wangu wa kwanza kutoka kwa mke wangu Mungu katujalia wa kike nimpatie jina gani zuri maana kazi ya kutafuta jina nimeachiwa mimi babaa
 
Destiny - meaning ‘fate or luck’, comes from the Latin word ‘destinare’ meaning ‘to determine’.
 
Last edited:
ilo ilo ulilochagua litapend3za zaid jf queen
 
Back
Top Bottom