Mke wangu amejifungua mtoto wa kike nimpe jina gani zuri?

Mimi ni kijana wa miaka 23 huyu ndo mtoto wangu wa kwanza kutoka kwa mke wangu Mungu katujalia wa kike nimpatie jina gani zuri maana kazi ya kutafuta jina nimeachiwa mimi babaa
Mmepe Sizonjee mkuuu la kiutamaduni wa Kitanzaniaaa
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 huyu ndo mtoto wangu wa kwanza kutoka kwa mke wangu Mungu katujalia wa kike nimpatie jina gani zuri maana kazi ya kutafuta jina nimeachiwa mimi babaa
Avriel
 
Majina yamebeba roho usiokoteze majina mitandaoni usiyojua asili yake.. Jina linabeba dhima kubwa sana kwenye mustakabali wa mtu
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 huyu ndo mtoto wangu wa kwanza kutoka kwa mke wangu Mungu katujalia wa kike nimpatie jina gani zuri maana kazi ya kutafuta jina nimeachiwa mimi babaa
Larissa, Peniel, Clarissa, Lovelovie
 
Back
Top Bottom