Mke wangu amekeketwa, nimeshindwa kuendelea kuishi nae

Mke wangu amekeketwa, nimeshindwa kuendelea kuishi nae

UPUUZI MTUPU! Umeshamzisha watoto wawili ndiyo unakuja na huu upumbavu wako!
Nimemuoa, tukazaa watoto na sasa nimemuacha. Upumbavu upi sasa hapo
 
Tangu siku ya kwanza ulijua kakeketwa kwanini hukumuacha kabla ya kumzalisha? Narudia tena upumbavu MTUPU!
Kwahyo Mkuu, kumuacha siku hiyo ya ndoa ndo ingekua sio upumbavu?
 
Mimi sina mpango wa kuoa mwanamke wa kuangalia dalili za stroke. Kufa nitakufa tu
Unadhani stroke tishio ni kukuua basi..... stroke inapunguza baadhi ya viungo mwilini vinabaki kama urembo. Ikikuua una bahati nzuri sana. Anyway, sikuhizi hampitishwi jando huwezi nielewa boss.
 
Umemkosea sana......mrudishe mlee watoto labda kama kuna sababu nyingine ya msingi.....watoto wa2 unamuacha mtoto wa watu,then FGM siyo kosa lake......hiyo laana itakuandama
 
Kwaiyo.kumbe bikra Sio sababu ya kudumu kwa ndoa..ungemkuta na mashavu.marefu au kisimi Kama kwenzi ...Napo UNGEMUACHA
 
Jokajeusi nilimwambia mwanaume akitaka kuacha...anaacha tu...hakosi sababu...Japo tunaashauriwa tusichezee talaka..lakini akiamua na akadhamiria anakuacha
..Kama huyo alivyosubiria mwanamke.anawatoto wawili anamuacha.masikini.

Mwanamke Huyu Mungu ampe mwanaume atakae ridhika na Hali yake
 
Amiin, inshaallah.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Umemkosea sana......mrudishe mlee watoto labda kama kuna sababu nyingine ya msingi.....watoto wa2 unamuacha mtoto wa watu,then FGM siyo kosa lake......hiyo laana itakuandama
Halafu hizi sababu za kukaa na mke kwa sababu ya kulea watoto ni sababu za kijahili. Unadhani ukilea mwenyewe watoto wako ndo 100% wanakua bora?! Mbona watu kibao wamelelewa na mama zao tu na baba zao hata hawakuwa na mpango na wamekuja kuwa watu bora??! Usinambie kulea watoto ikawa sbabu ya kurejeaba na mke mimi, sielewi
 
Back
Top Bottom