Mke wangu amekeketwa, nimeshindwa kuendelea kuishi nae

Kwaiyo.kumbe bikra Sio sababu ya kudumu kwa ndoa..ungemkuta na mashavu.marefu au kisimi Kama kwenzi ...Napo UNGEMUACHA
Yani uwe tu bikra, usiwe na qualities zingine zozote ndo tukae daima kwenye ndoa?! Tuache ujinga
 
Ndugu yangu naona kama umemaindi kimtindo, anyway hapa hauamuliwi, ni ushauri tu, maisha ni yako, km kwako ni sahihi hakuna wa kukupinga muft

Kila la kheri mzee

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Naona unalazimisha nizione hasara zako wewe. Hapa naona za kwangu tu
 
Umeshwahi kuniona nawatusi single mother? [emoji15]
Aamiin!
 
Kwaiyo tunakubaliana.. bikra pekee Sio kigezo Cha ndoa kudumu
@jokajeusi hajawahi kusema kuwa bikra ndo kigezo cha ndoa kudumu. Na mimi sijasema hilo sehemu yoyote. Ila kama huna bikra tushakutoa katika wenye vigezo. Tunaangalia vigezo kwa wenye bikra tu.
 
Kama na wewe haujakeketwa piga chini .ila kama umekatwa USISUMBUE RAIA Tuko bize kuvaa barakoa
 
Utoto.

Watu wanachukulia bar na wana family zenye furaha na mapenzi tele
Kama huo ni utu uzima, kachukue bar bro. Sisi wenye utoto always tutafocus kwenye watu wanaojiheshimu kwanza.
 
Kila la heri kwenye maisha yako mkuu
 
Ila tunaweza tukachukua utani lakini ukweli ni kwamba, mwanamke mzuri kwenye mapenzi kama GITAA LA DIBLO DIBALA UTALIKUTA, tofauti na hapo ni hovyo kabisa.

Mimi nishakutana na demu wa aina hiyoo aisee kwa kifupi hana ladha, yaaan ile Mbunye INAKUWA kama pango flan lisilo na muelekeo
 
Good.Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu. Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…