Mke wangu amekeketwa, nimeshindwa kuendelea kuishi nae

[emoji1][emoji1][emoji1]walaaniwe wanaokeketa wanawake aisee hicho kiungo kina hisia nyingi zaidi hata ya huko ndani, mwishowe wanafanya k inakuwa ka mdomo usio na meno, inasikitisha sana, Mimi wazazi wangenikeketa ningewashtaki
 
Bora umesema umuhimu wa hicho kidude asee
 
Na huyo utaachana nae kwa sababu nyingine au utavunga na kuishi katika ndoa ya mateso kuogopa watu watakuonaje kuachaacha wake
 
Kama ilikuwa inakuzuia kukojoa hapo ni sawa ila wewe unakojoa na yeye unamkojoza sema tu labda una gubu na kisirani au pengine kuna k ulionja huko nje ukaona ni tamu kuliko ya mkeo vinginevyo bado you are too young. Kuna age ukifika kuna cases hatutarajii kusikia..kama hii..sema ukwl kwa sauti tukusikie
 
Yaan kumzalisha kote ulikua hausisimki?
Kwa nn mkuu unamkosea sana pamoja na wanao, kwa starehe mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…