Mke wangu amekuwa na dharau sana

Mke wangu amekuwa na dharau sana

Kwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.

Pole, mfundishe na umkumbushe nafasi yake na wajibu wake kwa upendo. Labda kuna sehemu mmejisahau

Wakolosai 3:18-19​

Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.
 
Kwa uwasilishaji huu acha aendelee kukudharau.
unataka tukushauri nini sasa, basi pole
 
Labda Vumbi la DRC lilikuwa linakubeba, sasa mama Kashapini huko, sasa apo unafikiri wife atakupaje heshima
 
Kwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.

Mimi ni dokta msuluhushi wa ndoa nyingi zinazovunjika nipatie number yake nizungumze nae kwa utulivu nitafute sababu ni nn mpka akudharau
Mara nyingi matendo yako ndo yanasababisha akudharau,bila ww mwenyew kujigundua baada ya hapo ntafanya mawasiliano na wewe niwaweke chini naamini dharau itaisha na upendo utarudi kama kawaida
 
Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Sisemi sana!! ila weye kabisaa wazazi wake wana faida!....huwezi kumlipa mtu pesa yako, umpe shelter bure! umfanye umpe mbegu bure halafu ulalamike/ dharau izo!...sasa fanya hivi....

Mfulie nguo zake zooote kwa wkt anao taka/faa, mpikie, muogeshe, fagia piga deki ogesha watoto! mbebe mgongoni kila jioni anapoenda lala! mpake mafuta weye kila siku ndo upendo wenzako wanafanya ivo!

Ukisema ana dharau huyo sasa ni wewe umeliona hilo! siyo yeye! kwa Binafsi yake!...kwa hiyo wewe ndiyo una Makosa ya kumtukana mtu kuwa ana dharau muombe Msamaha hapa! hapa!
 
Hakuna mwanamke mwenye dharau kwa mwanaume mwenye hela
Mweee!! usijidanganye unajua inakuwaje hapo!...yeye atakudharau kwa kuwa..... na wenye hela na Mali zaidi yako!...hata Mengi kuna wenye hela kumzidi!!...... sasa ukimpeleka mkeo kuishi Dubai na hela zako nyingi hizo!

kule nako atakuta kuumbe kuna wamiliki Meli za mafuta/.viwanda vikubwa/ visima vya Mafuta nk! wana midolali ya kuchezea siyo hela ya kibongo..... sasa utasemaje hapo???
 
I remember those days , when i afraided to comment in Jamii Forum but why was so ?

I always red different contented topics and comments from different members whom i thought they are Great thinkers than me.

I enjoyed to read anything from this forum
It was my home that the day never end without passing through.

Jamii forum rudi kama zamani , watoto wamekuwa wengi na watu wazima baadhi wamekuwa kama watoto wadogo.

Anyway huyo mkeo muache tu .
We nawe kama Kiswahili unajua kingereza cha nin
 
Status ya hivi vitu vikoje?

1. MIKITO DOT COM aka Dullah Mbababe SHOW SHOW
2. NJURUKU aka NGAWILA.
 
Back
Top Bottom