The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Toka mwanzo alikuwa anakudharau ila wewe ulijifanya huoni eti unampenda ππKwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Na wewe mdharauMe na mkewngu amekuwa anadharau sana sikuhizi naombeni hushauri
Kwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Kwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Mpe mimbaKwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Muombe msamaha.Kwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Sisemi sana!! ila weye kabisaa wazazi wake wana faida!....huwezi kumlipa mtu pesa yako, umpe shelter bure! umfanye umpe mbegu bure halafu ulalamike/ dharau izo!...sasa fanya hivi....Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
Mweee!! usijidanganye unajua inakuwaje hapo!...yeye atakudharau kwa kuwa..... na wenye hela na Mali zaidi yako!...hata Mengi kuna wenye hela kumzidi!!...... sasa ukimpeleka mkeo kuishi Dubai na hela zako nyingi hizo!Hakuna mwanamke mwenye dharau kwa mwanaume mwenye hela
Hakuna mwanamke mwenye dharau kwa mwanaume mwenye h
Kwa hiyo mwamba atafute hela Tu hakuna namnaHakuna mwanamke mwenye dharau kwa mwanaume mwenye hela
We nawe kama Kiswahili unajua kingereza cha ninI remember those days , when i afraided to comment in Jamii Forum but why was so ?
I always red different contented topics and comments from different members whom i thought they are Great thinkers than me.
I enjoyed to read anything from this forum
It was my home that the day never end without passing through.
Jamii forum rudi kama zamani , watoto wamekuwa wengi na watu wazima baadhi wamekuwa kama watoto wadogo.
Anyway huyo mkeo muache tu .
Mtafutie mke mwenzieKwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.