Mke wangu ameniacha njiapanda

Safi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.
Kwa ujumbe wako huu lazima amsamehe tu aisee maana kwanza amejitakia mwenyewe kwa kuchungulia whatsapp ya mke wake lakini pia sijui hapo ulipomshauri kama naye hajawahi kumendea mtoto wa mtu
 
Kitu kmoja alichokosea huyo mwanamke ni kishindwa kuclear daut zako. Amekataa kutoa ushirikiano katika hatua ambayo ingekupa ahueni au ingekufanya ufikirie pengine sio kweli.

Lakini umeachwa uamue mwenyewe kusuka au kunyoa,kifup wote ni watu wake asingependa ampoteze hata mmoja kati yenu.

Kwa sasa ataendelea kukudanganya na na bahati mbaya umekosa imani nae,hivo hata ukweli wake kwa sasa hauna msaada kwako.

Hivo jipe muda na uamue kwa busara.
 
Mpe benefit of the doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
😂😅
Ukute we ndo Ima😊
Kuendekeza mawasiliano ya hivyo na huyo jamaa hata kama ni Ex tu, ni uzinzi tosha!
 
Majibu ya ke tayali yana shaka jamaa amue tu
 
Mkuu hata kama walifanya kabla ya kuishi na mimi sasa wanaendelea kuwasiliana ili iweje mbaya zaidi tena kwa siri nikiwa sipo wanapigiana simu kuna amani kweli hapo mjomba...?[emoji848]
Piga chini Mkuu,usicheke na hawa viumbe kabisa.
 
Emma si Ni Yesu
Anakulaje mke ya mutu .Kaka pasua mawimbi Tena kwa mbio kalii.
 
😂😅
Ukute we ndo Ima😊
Kuendekeza mawasiliano ya hivyo na huyo jamaa hata kama ni Ex tu, ni uzinzi tosha!
Ima ni boya tu, mimi nachakata papuchi huru, wake za watu ni tatizo. Naheshimu ndoa, pia naheshimu emotional na financial investments watu wanazoziweka kwenye mahusiano yao.

Kwa muktadha huo uzinzi umepata maana mpya.
 
Ushauri wangu ni kwamba utayoambiwa hapa changanya na za kwako, huenda huyo mharibifu wako ni mchangiaji humu.
 
We jamaa una logic ya kifala sana,yaani asamehe/tusamehe kisa 90% ya wanawake ni wachepukaji? Hivi unajua maumivu ya kuishi na mwanamke ambae unajua alishawahi kukucheat? Unatoa shauri na reasons za kiboya Sana.
Kuchapiwa huwa ni Siri ya ndani mkuu wewe hapo ulipo unajuaje kama mkeo hajawai kukusaliti?? Isijekua mnamshauri mwenzenu ujinga kua aachane na mke wake wakati nyie ndo wale ambayo wake zenu tunawasindikiza kwenye lodge kila siku na bodaboda zetu. Ndo maana mwisho wa siku nimemaliza kwa kusema maamzi ni yake, binafsi kuhusu hatma ya Mke wangu akichepuka nikagundua siwezi kumuomba mtu yeyote ushauri me ndo ntaamua either ninyoe ama nisuke over.
 
Mke wako akifanikiwa kupita kwenye hiyo dhahama,itabidi ampange jamaa namna bora ya kuebdelea kuchiti,pole sana.We angalia utakavyoamua,tambua watu wengi wanaishi pamoja,ila wanachiti kinoma,wanaojua vizuri ni majirani.
 
Ukiona manyoya .......!
 
Mkuu ushauri ni hivi piga chini huyo mtu, mwanamke akishacheat ni Sawa na kula nyama ya mtu haachi. Mi Kuna demu nlikuwa naishi nae alipigiwa simu saa 7 usiku na njemba akataka aipotezee nkamlazimisha apokee nkaweka loudspeaker, alishindwa kuongea akakata.
Nkamuuliza huyo ni Nani akasema rafiki yake wa siku nyingi kuchukua simu nkakuta waliwasiliana asubuhi na mchana.
Sikuomba ushauri yeye na mimba yake nikapeleka kwao, nahudumia mtoto tu ila mazoea naye sitaki na hizo hasira za mlipuko nlizonazo yasije tokea ya Mwanza
 
Pole, inauma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…