Mke wangu ameniacha njiapanda

Pole sana,
Nakuomba utulize akili zako vizuri nini ujue cha kufanya na nini si cha kufanya. Kwanza usipende kufuata vya kusikia wewe, fuatilia hayo mambo ni kweli. Usianze kuzungumza na mke wako mpaka utakapopata uhakika juu ya ukweli kununua kuhusu kujenga.
Juu ya kijana huyo uliyemlea tangu utoto, usisumbuke sana kwa ajili yake, mwenye shida ni mke wako, ndiye mshauri mzuri wa huyo mtoto. Pia kusaidia mtu ingawa unatarajia kuheshimiwa na kuhusishwa, jifunze kwamba kusaidia ni kutegemea urudishiwe mema. Umefanya sehemu yako mwachie Mungu aliyekupa nguvu na fursa ya kumlea huyo kijana. Hata kama hatakusaidia kwa lo lote mbeleni, usichukie au kukaa na uchungu moyoni. N ngu Mu akikupa nafasi ya kumsaidia mwingine fanya kwa moyo mweupe. Mungu anaweza kufungua baraka nyingine za kukulipa tokana sehemu nyingine. Endelea kufanya kazi, subiri wakati wa likizo zungumza na mkeo kwa utulivu na busara. Pia hatujui tabia yako hapo nyumbani kuhusu huyo mtoto ulikuwa na unamhudumia kama mtoto wako au uliimbagua baada ya kupata watoto wa kuzaa. K wavyo vyote vile hata kama ulimlea vizuri kama mtoto usisimamme badala ya Mungu. Mwachilie huyo kijana utakaa kwa amani badala kuongeza magonjwa ya stress mwilini mwako.
Tulia na achilia mzigo wa huyo kijana moyoni mwako.
 
hahahah, unachapiwa maskini hiyo situation inanikumbusha mbali sana asee ila hawa wanawake 🙌


Sikia mkuu kama wewe pia huwa unam-cheat mkeo basi kaa kwa kutulia na uvumilie ila kama huwa hum-cheat asee nakushauri tu, Talaka tatu maana kuna wazee fulani wenye busara niliwahi kuwasikia kwamba mwanamke akianza kutoka basi safari imekwiva.
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Du! pole sana mkuu ! Huyo piga chini tu, usikute hata hiyo mimba ni ya mjomba Imma!
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Una hakika hiyo mimba ni yako??una hakika Imma ajagi hapo kwako??
 
Anaulizia mtoto wake anaendeleaje tumboni!! Hapo una mke ndugu pole sana
 
Mtu kama una kifua ni bora usishike simu ya mke, Wana siri nyingi Sana. Pia ni ngumu Sana kuishinda nguvu ya x. Kama tu mama Mchungaji anaemjua Mungu anacheat sembuse mtu asiye na Mungu. Hizi simu ukisema ufatilie Sana KILA call sms nk ni lazima muachane. Huko maofisini wanaposhinda Wana mengi Sana ni kumuomba tu Mungu azidi kutufunika pazia tusiyajue
 
Ni 7% ya wanandoa ndio awajawahi chepuka tangu waoane. Kama kuna parameta ya kupima uchepuko ni lazima 97% ya wanandoa wanachepuka
 
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyo
Wanaume tuache ubinafsi kama unachepuka kwann ikuume mkeo kuchepuka
 
Sio mkeo huyo ni mke wenu hachana nae akijifungua pima DNA kama wako mlee mtoto kuhusu kuoa jipange upya na nenda Kijijini mjini ushapata gundu
 
Kwa vile amekataa kukiri kosa wewe mchunie,hakuna stori,hakuna kutiana mpaka aikimbie nyumba.
 
Piga chini kahaba mmoja huyo!
 
Mkuu, kumbuka tu kuwa matukio ya kuuana hasa wanandoa na wapenzi yamekuwa mengi sana.

Kuwa makini katika maamuzi yoyote unayifikiria kufanya.

Tena kwa yeye mkimya inatesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…