Mke wangu ameniacha njiapanda

Kwani mkuu ww huna mchepuko mpaka umfatilie mkeo?

Kwa Iyo ka anae na mke wake awe nae sio kwa iyo ni mashindano sasa? Kama uyo jamaa yake ni wa maana si ange muweka ndan yeye si angetoa mahali yeye si angemuoa yeye broo ni heshima sana kumheshimisha mwanamke af usipojiheshimu inavunja moyo sana...

Ndio ulikua na watu before lkn ka hawakujua thaman yako Piga chini anza upya na anaejua thaman yako ata namba badilisha
 
Kwanini kumu entertain mtu ambaye unaona kabisa hana faida kwenye mahusiano yako, awe ni Ex au yoyote tu..

Unaweza kupoteza mtu wa maana kwa sababu ya mtu ambaye hata mpango na wewe hana, ukute nae ana mtu wake huko ..

Bora umeongea wewe hili lipo kwa wake kwa waune!! Binafsi nikiamua kuoa sitahitaj shobo na na ex kabisa kwanza weng washenz tu
 
Hata ww kumbe hujaoa?ina maana kisheria sio mke wako,una tofauti gani na huyo anaezini nae?Haya muache kabsa
 
Mkuu hata kama walifanya kabla ya kuishi na mimi sasa wanaendelea kuwasiliana ili iweje mbaya zaidi tena kwa siri nikiwa sipo wanapigiana simu kuna amani kweli hapo mjomba...?[emoji848]
Hapo mke huna ndugu yangu. Hilo penzi lao ni hatari na lipo live ushahidi ni mawasiliano yao. Pia huyo mwanamke anampenda jamaa yake hatari kiasi kwamba aliamua kukudanganya. Je uendelee kuishi naye huku humuamini au uanze upya. Hata kama alitembea naye kabla ya kuwa na wewe why wanawasiliana? Why akudanganye? Chukua hatua
 
Amka usingizini wewe boya unamegewa mkeo halafu unauliza cha kufanya? Shauri yako
 
Hapo
Utapasuka kichwa kusema abaki wako peke yako, chakufanya kwasababu mwanamke kaanza mwenyewe basi mfanye mboga, jenga urafiki na ima muwe mnampiga tu show wote kwasababu hutaweza kubadilisha chochote sana sana atapigwa na ima kwa siri
 
Haya mambo yanaumiza sana, maana ukivuta taswira hapo umeshatukaniwa sana kimoyo moyo wakiwa kwenye faragha yao. Kikubwa angerudi kwao kupumzika na kujitafakari kwa kufanya hivyo natumai anaweza jirekebisha. Maana kwa dunia ya sasa yatupasa kuishi kwa umakini sana kutokana na dunia ilivyoharibika. Pole sana mkuu
 
Oyaaa! Amesema aliyekuwa anaongea nae ni Shemeji yake. Umenikumbusha uongo wa Mikoa ya Kanda ya Kati, kwa jina sitaji. Kuhusu ushauri kwa mimi sikupi nyinyi wenyewe ndio mtajua mtavyomalizana, naweza kusema achaneni alafu kesho nawakuta Samaki Samaki mmetoana OUT tena kwa mahaba tele.
 
Mkuu kwenye uaminifu najitahidi sana sn huko nilishahama kbs. Bt hata kama nachepuka si ticket ya mke wangu naye kujaribu kufanya hivyo
Nimeguswa lkn usisahau mwanaume ukichepuka mke akijua unampa credit za yeye kuchepuka. Kibaya ni kumkamata tuu. Kwa mrengo wa hiyo comment yako.
 
Mpe benefit of the doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
Kama hataelewa huu ushauri..atamaliza wanawake wote labda afate ushauri sugu wa Livapoo FM.
 
Mkuu hadi mwanamke kutoka nje ya ndoa Kuna sababu nyingi sana wanawake ni rahisi sana kuzitunza ndoa zao kuliko wanaume....
.kama ww ulishawai kumcheat mkeo msamehe yaishe kiutuuzima......kama ujawai kucheat basi mrudishe mkeo nyumbani kwao hadi hapo moyo wako utapokua umeamua kurudi au kusonga na mambo mengine.
 
Mkuu hili suala liliishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…