Mke wangu amenifuma chumbani kwa dada wa kazi

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa kazi alikuwa ananifundisha kilugha cha cha kabila moja la kanda ya ziwa lakini wife haniamini ameniambia nichukue kitu chochote kilichokuwa changu niende zangu

Wadau hapa nimechoka hapa sijui nifanyeje hapa mimi sina pa kwenda na mke wangu alikuwa kila kitu na yeye ndiyo anenitoa kijiji chetu huko nyaishozi Kagera na hapa dar mie ni mgeni na sijui wapi? Msaada tafadhali msaada wenu wakuu
 
Sasa kama baba jitu zima unaniita Chawa wa lumumbashi , wewe ni zezeta ndio maana unaenda kulala chumbani kwa binti wa kazi. Hata hujui kwamba mji uinaitwa Lubumbashi Na sio lumumbasi .
 
Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa kazi alikuwa ananifundisha kilugha cha cha kabila moja la kanda ya ziwa lakini wife haniamini ameniambia nichukue kitu chochote kilichokuwa changu niende zangu

Wadau hapa nimechoka hapa sijui nifanyeje hapa mimi sina pa kwenda na mke wangu alikuwa kila kitu na yeye ndiyo anenitoa kijiji chetu huko nyaishozi Kagera na hapa dar mie ni mgeni na sijui wapi? Msaada tafadhali msaada wenu wakuu
Unatuaibisha wahaya
 
Back
Top Bottom