Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Sasa kama baba jitu zima unaniita Chawa wa lumumbashi , wewe ni zezeta ndio maana unaenda kulala chumbani kwa binti wa kazi. Hata hujui kwamba mji uinaitwa Lubumbashi Na sio lumumbasi .Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa kazi alikuwa ananifundisha kilugha cha cha kabila moja la kanda ya ziwa lakini wife haniamini ameniambia nichukue kitu chochote kilichokuwa changu niende zangu
Wadau hapa nimechoka hapa sijui nifanyeje hapa mimi sina pa kwenda na mke wangu alikuwa kila kitu na yeye ndiyo anenitoa kijiji chetu huko nyaishozi Kagera na hapa dar mie ni mgeni na sijui wapi? Msaada tafadhali msaada wenu wakuu
Ndo urudi kwenu Rugu ADP, au Ihembe 2, au chanyamisa😂😂Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa...
Madhara ya kuolewa.ameniambia nichukue kitu chochote kilichokuwa changu niende zangu
Dadeki,ageuze kimafyaKataa, mwambie ww ndo umemfumania anasagana na beki tatu.
Unatuaibisha wahayaAisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa kazi alikuwa ananifundisha kilugha cha cha kabila moja la kanda ya ziwa lakini wife haniamini ameniambia nichukue kitu chochote kilichokuwa changu niende zangu
Wadau hapa nimechoka hapa sijui nifanyeje hapa mimi sina pa kwenda na mke wangu alikuwa kila kitu na yeye ndiyo anenitoa kijiji chetu huko nyaishozi Kagera na hapa dar mie ni mgeni na sijui wapi? Msaada tafadhali msaada wenu wakuu