Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

mkeo inabidi ukae nae chini umhoji kwanini alipiga hizo picha?
Lengo ni nini? Anazipeleka wapi?
Asipokupa majibu ya msingi usimpige wala kumfukuza ila mnyang'anye iyo smartphone alaf mpe kiswaswadu
Hili hasa ndio nimeamua tatizo hiyo smart sijamnunulia mimi hivyo ugomv utakuwa mzito mno.
 
Ukute kafungua group telegram anayanadi makalio yako 😹😹😹
Unakuta kidume anamiliki BIG TAKO kuliko mke wake, kwanini asiyapige picha kwa mfano!

Mke ana vitako vidogo kama ndulele halafu akimuangalia mme wake anaona zigo la maana, we huogopi?

Ndio mwanzo wa kumulikana makalio kwa tochi mida ya usiku.

Cc: Extrovert Poor Brain secretarybird
 
Daah nimecheka sana😃😀
Sasa picha zote hizo 71 za kalio hilohilo za nini
 
Itakuwa unapenda kushikwa makalio. Usingizi gani wa kiasi cha kushikwa makalio na usihtuke.
 
Huwa nalala na nguo sema amenifunua mpuuzi huyu
 
Hii imenitoa hasira zaid leo nisilotangazwa kwnye habari sijui.
 
Wanawake sijui wanaambiana nini kuhusu makalio yetu wakiwa kwenye vikao vyao. Kuna mwingine aliwahi kushtuka usiku akakuta mkewe ana mmulika na tochi matakoni.
Labda jamaa alikuwa anajamba sana usingizini akataka kuona isije wameng'oa breki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…