Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Khaa!😁
 
Umeshauriwa umuulize kwanini amekupiga hizo picha,,,na uliangalia kama kuna sehemu amezituma? Ukimuuliza majibu atakayokupa urejeshe hapa yatasaidia wengine watakao kutwa na kadhia ya aina hiyo.
 
Mwanaume unalalaje hadu unapigwa picha za makalioni hujuwi. Wanaume hawalali wanapumzika tena siyo kizembe hivyo kama unajifunika kanga vile. Umetukosea wanaume wenzako heshima. Funika tako unapo lala.
 
Du huyo anataka approve kuwa ww ni pu.......zeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…