Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Anakutafutia wawekezaji.
 
Kama nikweli huo niudhalirishaji either anatatizo la kisaiklojia huenda yuko addicted mambo flnivi
 
Usioogope mkuu...hata wakiona rafiki zake hawatajua kama kalio ni lako hata ukiamua kulipost hapa hatujui kama ni lako still 😂😂😂

Don't worry hebu mwambie shemu apost hapo 😀😀
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Hebu weka picha tatu tuzifananishe ili tuthibitishe kuwa ni za mtu mmoja.
 
Mwanaume unalalaje hadu unapigwa picha za makalioni hujuwi. Wanaume hawalali wanapumzika tena siyo kizembe hivyo kama unajifunika kanga vile. Umetukosea wanaume wenzako heshima. Funika tako unapo lala.
Mzee umeongea kea hisia sana .mm ni mwanaume tena sawaswa
 
Back
Top Bottom