Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Pole,
Haya ni maajabu kama maajabu mengine
Mimi cha kwanza ningehold simu, na nimuulize hizo pixha anafanyia nini,au anamuonyeshaga nani
Nina uhakika lazima kuna mtu kashawahi kuona hizo picha,
Make sure wakati unamhoji simu umeishika wewe,na ukifuta hakikisha na recycle bin umei empty,na google photo pia
 
Pole,
Haya ni maajabu kama maajabu mengine
Mimi cha kwanza ningehold simu, na nimuulize hizo pixha anafanyia nini,au anamuonyeshaga nani
Nina uhakika lazima kuna mtu kashawahi kuona hizo picha,
Make sure wakati unamhoji simu umeishika wewe,na ukifuta hakikisha na recycle bin umei empty,na google photo pia
Ndugu hapa ndio nipo kwenye gari leo atasema tu kusudi lake
 
Wewe umejuaje kama makalio uliyoona kwenye hizo picha ni makalio yako? Sababu umesema "picha za makalio tu" sio rahisi mtu hasa mwanaume kutambua sehemu yake ya makalio tena kwenye picha
Kanipiga na mgogo na kichwani hivy najua kichwa changu na theluthi tatu ta uso wangu inaonekana
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri

Usikute unavutia kuliko yeye kwahiyo anatumia izo picha kujidalalia.. anyaway.. kuanzia leo lala kimachale sana
 
Hebu weka kapicha ya makalio yako na ya mkeo tuthamanishe kwanza.
 
Kama amepiga makalio tu, tena neked, umejuaje kama ni makalio yako, huwaga unajiangalia kwa background ya kioo na kukariri namna makalio yako yalivyokaakaa?

Muulize kwaza mwenye simu, majibu atakayokupatia ndiyo uyalete hapa tujadili.
Jinsi alivyopiga mgongo na hata theluthi ya sura yako unaiyona.
 
Mimi niliwah ambiwa na mchepuko eti nina alama za kurogwa matakoni,

Wakat .mara nying nikiwa nae huwa nahis kama sisinzii,yeye ndo huwa anasinzia,eti alinifunua akaniangalia mim nimesinzia,yaan hili jambo huwa linanitafakarisha sana
Kuna watu haya mambo tukiwaambia wanaona ni masihara.
 
Kanipiga na mgogo na kichwani hivy najua kichwa changu na theluthi tatu ta uso wangu inaonekana
Kama hii issue ni serious sio vichekesho basi unahitaji kuchukua hatua kali tena haraka ikibidi hata hatua za kisheria, sio kumuuliza tu

Inawezekana mke wako ameuza hizo picha kwa matapeli wanaojitangaza kama watoa huduma za ushoga kwenye mitandao, huwa wanaweka picha kujifanya wanajiuza ili kutapeli watu, lakini pia inawezekana anataka kutumia hizo picha kama silaha ya kukudhalilisha siku utakapolazimika kutengana nae kimahusiano

Ni kosa kisheria mtu mmoja kupiga picha za utupu mtu mwingine bila ridhaa
 
Nafikiri ungekagua na kwenye video ili tutape pakuanzia usikute ulifanyiwa zaidi ya hicho natanguliza pole
20250104_215130.jpg
 
Back
Top Bottom