Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

Huwezi sema hujaamua lolote wakati umeshatembeza Kichapo kikali,
Kwa kuwa umetembeza kichapo yameisha! Lakini sijapenda ulichokifanya
Huyo hakuhitaji kichapo ni KUACHWA tu halafu unaleta kitu kingine
si unajua STOCK ni kubwa sana, sasa hivi uiano uko hivi wanaume:Wanawake
1:10 hapo nimechanganya na wale ambao majongoo hayapandi Mtungi.
 
bado sijaamua ndugu, naumiza kichwa sana, yaani naumia sana, ndio maana nimeweka hapa mnishuri

Rudi chuoni haraka sana. Kapige shule huko utapata relief nyingi sana. Then ukitulia utakuwa kwenye mda mzuri wa kufanya maamuzi.

Once again, pole mkuu.
 
Hata mie ningesema hatujafanya lol, pole sana mkuu ila umbali umemponza mkeo, kuna wengine hawawezi hata kukaa mwezi mzima bila mwanaume labda na wako yuko hivyo, ila plus na kiburi na kukukwepa wakati umeenda tu kwa likizo fupi? kweli akili ni mali kila mtu ana yake, kashindwa kukaa kwa amani na wewe kwa mda tu huo mfupi, atakuwa hakupendi tena, pole sana uamuzi ni wako
 
Let me not fall into this kind of sin!!!.

too bad. pole dadiito
 
Huyo inabidi arudie kiapo cha uaminifu halafu baada ya hapo mpige mkwara: kwamba utafuatilia nyendo zake, na siku ukigundua kuwa anakusaliti utamwangamiza. Hakika hawezi kurudia tena. Jipe moyo kwamba haja-sex na huyo jamaa. Ila ningekuwa mimi ningemsaka huyo 'mwizi' na kumshikisha adabu. Tuliza munkari, endelea na mkeo mpenzi.
 
bado sijaamua ndugu, naumiza kichwa sana, yaani naumia sana, ndio maana nimeweka hapa mnishuri

kwanza mshukuru mungu kukuwezesha kugundua kinachoendelea au kuhisi nini kinaendelea.. unatakiwa uwe mtulivu sana katika kipindi hiki na huna haja ya kukimbilia maamuzi au kusukumwa katika maamuzi na hisia.. na usilipe nafasi ya kuwaza sana suala hilo . kaa chini ongea na mkea kiustaarabu na taratibu na kama unafeel mapenzi yako kwake basi mweleze na yeye akuambia wazi (angalizo: usimlazimise akuambie au akuonyeshe huyo mwanaume) ...
 
Nipe concept zaidi, hapo highlighted red front and italic. Unamaanisha nimpige hadharani au nimshushe kishipa....
 
Nikawasha moto nyumbani hapo, amekili kua ni mpenzi wake ila hawaja sex.....

Hilo jibu ni standard. Binafsi siliamini lakini hapo uamuzi ni wako. Unaweza ukaamini kuwa kweli hajatiana na huyo jamaa (huenda wakawa wapo kadhaa na si mmoja tu) au unaweza usiamini.

To me that's a deal breaker right there. I don't need to catch her red handed. I don't need to be with someone who gives that queasy feeling all the time. That in and of itself is torture. So based on that I'd move on happily.

But, we are all different.
 
Hizi za kuona thread nyingine na kuanzisha something similar zinakera sana siku hizi
 
kasoma ile sredi ya lasting relationship versus mobile phones mamii

open your eyes
 
dah..mkuu pole sana..sio kwamba hawajasex ni kwamba wamesex.kama mkeo ni mkeli na hataki kukusaliti aangekwambia/angekuwa huru kwako...lakini kama ndo hiyo tabia yake basi jua hapo huna mke.....hata huo mguu una uhakika alijikwaa?? au alikuwa anaposa mashine baada ya kucharazwa sawa sawa.....huyo ni mwongo .....

kingine mkuu wala usijali...ndoa huwa haivunjwi na watu ila huwa inavunjwa na wanandoa wenyewe.wee ni mtu mzima kaa na utafakari .....kisha uchukue hatua.....
 
kasoma ile sredi ya lasting relationship versus mobile phones mamii

open your eyes
Ndugu sikujui hunijui, usiniharibie..... haya maisha tunayoishi ni marudio ya watu waliotutangulia.... Hii imenitokea last week...
 
kasoma ile sredi ya lasting relationship versus mobile phones mamii

open your eyes


View yangu kuhusu maswala ya simu (which is part of one's Privacy) ipo hapo post # 5 LINK, ilishawahi ulizwa... Hata hivo ngoja nikacheck...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…