Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

kwanza mshukuru mungu kukuwezesha kugundua kinachoendelea au kuhisi nini kinaendelea.. unatakiwa uwe mtulivu sana katika kipindi hiki na huna haja ya kukimbilia maamuzi au kusukumwa katika maamuzi na hisia.. na usilipe nafasi ya kuwaza sana suala hilo . kaa chini ongea na mkea kiustaarabu na taratibu na kama unafeel mapenzi yako kwake basi mweleze na yeye akuambia wazi (angalizo: usimlazimise akuambie au akuonyeshe huyo mwanaume) ...

Asante kwa ushauri, detail za huyo jamaa kanipa zote najua anafanya wapi kazi na jina lake....na namba yake ya simu ninayo...

jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.
Yeye yuko mkoani mimi niko chuoni dar es salaam kimasomo elimu ya juu. Wiki za nyuma kabla ya sikukuu ya idd mawasiliano na mke wangu yaliyumba sana, yalitawaliwa na kiburi sana.

Nimeenda kwenye sikukuu ya idd ndio nikagundua usaliti. Mke wangu alikua bize sana na simu, pia alikua anaificha sana tofauti na mwanzo, haitoki mkononi kila mara anaandika msg. Nikaiwinda nikashindwa.

Siku moja alitoka kazini akanisalimia akakaa kidogo sitting rum kisha akaenda chumbani mida ya saa 1 usiku. Akazima taa kajifunika blanket. Mi nikaingia chumbani nikawasha taa. Nikamuuliza mbona umelala saa hizi, sio kawaida? Akajibu' nilipokua natoka job nimejigonga mguu unauma...., nikamjibu poa. Nikamwambia ' naomba simu yako" akakataa katakata na sikujua iko wapi. Akasema wewe ya nini si unayo yako? Nikamwambia ninashida nayo, akasema nenda ntakuletea zima na taa...

Nikatoka chumbani sikuzima taa, nikarudi nikakuta kazima tena na kajifunika kama mwanzo. Nikatumia nguvu nikampekua nikamnyang'anya simu. Baada ya kumnyang'anya nikawa nayo mimi, baada ya muda kidogo ikaingia msg inasema "thanks hny"

nikaandika msg kumuuliza ' nitakuona kesho dia?' akajibu hivi " tutapanga mpz". Nikawasha moto nyumbani hapo, amekili kua ni mpenzi wake ila hawaja sex..... Naombeni ushauri maana sijaamua kitu mpaka sasa, ingawa nimeshatembeza kichapo sana... Kuendelea kuishi nae naona sitakua na amani maana hapa nilipo niko dar yeye yuko mkoani.... Sina imani nae tena.....

~!@@@##!$%%^^&&** yaani natamani angekuwa wangu!

Ndugu sikujui hunijui, usiniharibie..... haya maisha tunayoishi ni marudio ya watu waliotutangulia.... Hii imenitokea last week...

ni kweli haya ni marudio.na wengi tumefika hapa kwa sababu ya watu wengine......mkeo sio mkweli.....kwa kweli amediriki kukudanganya vibaya sana.....pima kisha chukua hatua

Ndugu sikujui hunijui, usiniharibie..... haya maisha tunayoishi ni marudio ya watu waliotutangulia.... Hii imenitokea last week...

Sorry basi, i though ni yaleyale (although ntacheki after 3 weeks laweza kuja jingine)

Back to topic, pole sana mkuu na ushauri wangu ni kwamba there is nothing you can do to reverse whatever happened... Just find a way to move forward positively, na ikibidi hata wote kuhamia dar si mbaya kwani kuna watu hawawezi kustahimili kabisa kukosa ile supply ya yale mabo yetu

One advice mkuu, usimtafute huyo mgoni wako.... haisaidii, deal with your wife, seek advice from elders and God and move on

Ila bado sikuelewi.... Kwanini ulianza tu na kuomba simu yake??
can aanyone just start asking for a phone ya mkewe au mumewe kweli jamani??

Dah, pole ndugu.

Kusema kweli imenigusa sana. Nashauri MRUDISHE KWAO, NA UDAI MAHARI. Huyo ukiendelea nae atakuua. Hakuheshimu kabisa. Kama angekuwa anakuheshimu, angesubiri uondoke ndio aendelee na uhuni wake. Hata ungekuwa mkristo, inaruhusiwa kumwacha, ni mzinzi huyo. Mzinifu.

Fait Accompli.

View yangu kuhusu maswala ya simu (which is part of one's Privacy) ipo hapo post # 5 LINK, ilishawahi ulizwa... Hata hivo ngoja nikacheck...
Thanks ASHADII

Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"

yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??

very ok dear... jukwaa linayumba mazee

Kwa jinsi hii bado kuna mtu anasema simu ni ya mtu mmoja kwenye ndoa! Jamani tutakwisha na taifa kubaki na yatima tuuu.

Thanks ASHADII

Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"

yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??

Hivi hiyo simu ina thamani kiasi gani hadi uing'ang'anie hivyo? Kama mtu uko msafi na hakuna madudu huko ndani wala hutajishuku endapo mwenzako ataigusa.

This is simple and very straightforward.

Achana naye, sababu

si mwaminifu

hana a d ha b u

hana heshima

hana akili

ni mwizi

mwongo

Kwa jinsi hii bado kuna mtu anasema simu ni ya mtu mmoja kwenye ndoa! Jamani tutakwisha na taifa kubaki na yatima tuuu.

Tisa kati ya kumi wasemao hivyo ujue ama wameshazini nje ya ndoa au wana mawasiliano ya kimahaba na watu wa jinsia tofauti.

Mtu huwezi ukaing'ang'ania simu na kudai ni faragha yako wakati uko kwenye ndoa. Na hii sio complicated logarithm. Kama mtu huitumii simu yako kwa mawasiliano yasiyo appropriate huwezi kukataa mwenzako asiishike simu yako, period, end of sentence.

Thanks ASHADII

Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"

yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??

Naona Pal unanitoa katika line for hapa nacheka tu!... yaani yaani yaani....lol... No further comment kuhusiana issue ya Kipusy...

Dah pole ndugu yangu. Umesha megewa kaka. Chamsing mlilie mungu, ukhshindwa muache coz hataweza kumuacha. Hiyo mh dharau kubwa sana.

Naona Pal unanitoa katika line for hapa nacheka tu!... yaani yaani yaani....lol... No further comment kuhusiana issue ya Kipusy...
yani yani yani kweli kabisa kabisa yani yani??

hebu emergency my friend

Kwa waliooa hivi kweli unaweza ukaibuka tu mkeo kalala ghafla kaumia mguu, mara ghafla "nipe simu yako"

aiseeeeeee

yani yani yani kweli kabisa kabisa yani yani??

hebu emergency my friend

Kwa waliooa hivi kweli unaweza ukaibuka tu mkeo kalala ghafla kaumia mguu, mara ghafla "nipe simu yako"

aiseeeeeee

Dah! Genuinely haiwezekani...

Thanks ASHADII

Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"

yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??

mkuu pia vuzuri bandiko lake.......siku ya kwanza aliona mke anakaa na simu mkononi naanajificha yeye kama mtu mzima akajua kuna kitu hakiendi sawa....kesho yake wife katoka job na kufikia ndani ya blanket eti kajikwaa mguu na simu yuko nayo ndani ya blanket...huyu ni mtu mzima bana anajua anafanya nini ndo maana aliomba simu na hiki ni kitu cha kawaida tu.kama wife hanahofu na ni muwazi angetoa simu lakini sio kulalamika toka nje na uzime taa.......soma vizuri mkuu.....

Pamoja na uislam,nao unasema kuwa kesi ya zinaa lazima umkute na kuwe na mashahidi kadhaa,,,,ila na watoto nao?????lakin kama kuna uwezekano oa mke mwingine
mimi ni muislam

mimi ni muislam

hakuna cha talaka nenda wala lejea hapo cha msingi pima ngoma then....Chukua hatua....Si busara kukaa na mke unaejua anacheat na mbaya zaidi hata wewe mwenyewe ukiwepo anafanya hivyo sasa kama haupo inakuwaje. mimi ningetoa taraka kwenda zako nisikuone tena

Back
Top Bottom