kwanza mshukuru mungu kukuwezesha kugundua kinachoendelea au kuhisi nini kinaendelea.. unatakiwa uwe mtulivu sana katika kipindi hiki na huna haja ya kukimbilia maamuzi au kusukumwa katika maamuzi na hisia.. na usilipe nafasi ya kuwaza sana suala hilo . kaa chini ongea na mkea kiustaarabu na taratibu na kama unafeel mapenzi yako kwake basi mweleze na yeye akuambia wazi (angalizo: usimlazimise akuambie au akuonyeshe huyo mwanaume) ...
Hadhabu gani ndugu, nikiua ntafungwa
jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.
Yeye yuko mkoani mimi niko chuoni dar es salaam kimasomo elimu ya juu. Wiki za nyuma kabla ya sikukuu ya idd mawasiliano na mke wangu yaliyumba sana, yalitawaliwa na kiburi sana.
Nimeenda kwenye sikukuu ya idd ndio nikagundua usaliti. Mke wangu alikua bize sana na simu, pia alikua anaificha sana tofauti na mwanzo, haitoki mkononi kila mara anaandika msg. Nikaiwinda nikashindwa.
Siku moja alitoka kazini akanisalimia akakaa kidogo sitting rum kisha akaenda chumbani mida ya saa 1 usiku. Akazima taa kajifunika blanket. Mi nikaingia chumbani nikawasha taa. Nikamuuliza mbona umelala saa hizi, sio kawaida? Akajibu' nilipokua natoka job nimejigonga mguu unauma...., nikamjibu poa. Nikamwambia ' naomba simu yako" akakataa katakata na sikujua iko wapi. Akasema wewe ya nini si unayo yako? Nikamwambia ninashida nayo, akasema nenda ntakuletea zima na taa...
Nikatoka chumbani sikuzima taa, nikarudi nikakuta kazima tena na kajifunika kama mwanzo. Nikatumia nguvu nikampekua nikamnyang'anya simu. Baada ya kumnyang'anya nikawa nayo mimi, baada ya muda kidogo ikaingia msg inasema "thanks hny"
nikaandika msg kumuuliza ' nitakuona kesho dia?' akajibu hivi " tutapanga mpz". Nikawasha moto nyumbani hapo, amekili kua ni mpenzi wake ila hawaja sex..... Naombeni ushauri maana sijaamua kitu mpaka sasa, ingawa nimeshatembeza kichapo sana... Kuendelea kuishi nae naona sitakua na amani maana hapa nilipo niko dar yeye yuko mkoani.... Sina imani nae tena.....
Ndugu sikujui hunijui, usiniharibie..... haya maisha tunayoishi ni marudio ya watu waliotutangulia.... Hii imenitokea last week...
Ndugu sikujui hunijui, usiniharibie..... haya maisha tunayoishi ni marudio ya watu waliotutangulia.... Hii imenitokea last week...
Thanks ASHADIIView yangu kuhusu maswala ya simu (which is part of one's Privacy) ipo hapo post # 5 LINK, ilishawahi ulizwa... Hata hivo ngoja nikacheck...
<br />very ok dear... jukwaa linayumba mazee
Thanks ASHADII
Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"
yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??
<br />
<br />
Kwa jinsi hii bado kuna mtu anasema simu ni ya mtu mmoja kwenye ndoa! Jamani tutakwisha na taifa kubaki na yatima tuuu.
Thanks ASHADII
Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"
yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??
very ok dear... jukwaa linayumba mazee
yani yani yani kweli kabisa kabisa yani yani??Naona Pal unanitoa katika line for hapa nacheka tu!... yaani yaani yaani....lol... No further comment kuhusiana issue ya Kipusy...
yani yani yani kweli kabisa kabisa yani yani??
hebu emergency my friend
Kwa waliooa hivi kweli unaweza ukaibuka tu mkeo kalala ghafla kaumia mguu, mara ghafla "nipe simu yako"
aiseeeeeee
I rest my case!!Dah! Genuinely haiwezekani...
Thanks ASHADII
Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"
yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??
<br />mimi ni muislam
mimi ni muislam