Sorry basi, i though ni yaleyale (although ntacheki after 3 weeks laweza kuja jingine)
Back to topic, pole sana mkuu na ushauri wangu ni kwamba there is nothing you can do to reverse whatever happened... Just find a way to move forward positively, na ikibidi hata wote kuhamia dar si mbaya kwani kuna watu hawawezi kustahimili kabisa kukosa ile supply ya yale mabo yetu
One advice mkuu, usimtafute huyo mgoni wako.... haisaidii, deal with your wife, seek advice from elders and God and move on
Ila bado sikuelewi.... Kwanini ulianza tu na kuomba simu yake?? can aanyone just start asking for a phone ya mkewe au mumewe kweli jamani??
mkuu pia vuzuri bandiko lake.......siku ya kwanza aliona mke anakaa na simu mkononi naanajificha yeye kama mtu mzima akajua kuna kitu hakiendi sawa....kesho yake wife katoka job na kufikia ndani ya blanket eti kajikwaa mguu na simu yuko nayo ndani ya blanket...huyu ni mtu mzima bana anajua anafanya nini ndo maana aliomba simu na hiki ni kitu cha kawaida tu.kama wife hanahofu na ni muwazi angetoa simu lakini sio kulalamika toka nje na uzime taa.......soma vizuri mkuu.....
Thanks ASHADII
Hivi inaingia akilini kweli mtu unaanza tu na "nipe simu yako"
yani yani yani kweli kabisa kweli kabisa yani yani yani yani kweli kweli kweli kabisa??
<br />Umeisoma hiyo ya fimbo ya mbali? Ukishakuwa mbali jaribu kuwa mpole vinginevyo utashindwa kumaliza mazomo yako ndg yangu. Mshika mbili moja humponyoka. Ukimuaga kuwa unaenda chuo aga kweli kweli, hata wewe huko unayoyafanya kwa mabinti wa chuoni unayajua mwenyewe na huwezi kutuelezea. Omba mungu asinogewe! Ila kumzuia ni hakuna. Habari ndo hiyo.
bado sijaamua ndugu, naumiza kichwa sana, yaani naumia sana, ndio maana nimeweka hapa mnishuri
POLE SANA NDG, NAAMINI HIYO NI NDOA YA KIKRISTO, ILA SIWEZI KUJUA WEWE UMESIMAMAJE KTK UKRISTO, ILA UNAPOCHUKUA MAAMUZI YAKO ZINGATIA MIONGONI MWA HAYA YAFUATAYO :-
1. JE WEWE HUJAWAHI ISALITI NDOA YAKO UKIWA DAR AU PENGINE POPOTE????
2. JE WEWE HUJAWAHI JIVINJARI NA MKE WA MTU YEYOTE HAPA DUNIANI?????
3. KAMA HUYO NI MKE WA UJANA WAKO NA UNA HOFU MBELE ZA MUNGU JE? UNAJUA UKIMWACHA YEYOTE MWINGINE UTAKAYE MWOA WAZINI???????
4.JE UNAJUA 7 x 70?? KAA NAYE MUULIZE KUWA WEWE UNAJUA SASA KUWA ANAKUTENDA VIBAYA JE? ANAKUPENDA WEWE AU HUYO MWENZAKO??? KAMA ANAKUPENDA WEWE AKUELEZE WAZI UHUSIANO WAO NA AWE TAYARI KUKUPELEKA WEWE NA POLISI KUMCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA HUYO MWIZI.
5.MWOMBE MUNGU AKUPE NEEMA YA KUSAMEHE NA KUSAHAU, KUMBUKA WANAWAKE WENGI SANA NA WANAUME WENGI MNO WANASALITI NDOA ZAO KILA SIKU , TOFAUTI NA HUYO WAKWAKO NAONA KAMA ANA UPEO MDOGO ZAIDI WA KUFIKIRI WALA SIDHANI KAMA HATA ANAFIKIRI HATIMA YAKE, WENGI WALIAMINI WAPENZI WAO NI BORA KULIKO WAUME ZAO LAKINI MARA WATENGANAPO NA HUYO HAWARA NAE HUMRUKA.
6. INAHITAJI HOFU YA MUNGU KUMUDU YOTE HAYO, BILA HIYO UTAOA ,UTAACHA,UTAOA UTAACHA MIMI NAKWAMBIA NIKO OFISINI WALA SIONI MKE WA MTU AMBAYE AMESIMAMA, MMOJA KATI YA 20.
MUNGU AKUBARIKI
Jiulize swali hili:
Wewe umesha wahi ku cheat kama jibu ni YES kwa namna yeyote ile, then msamehe muanze upya, kama ni NO, achana nae kwani hutakuwa na amani maisha yako yote.
<br /> <br / toa talaka 1 usikilizieHiyo ndoa ni ya Kiislam, sina kimwana