wanawake bana hatakama ukikuta kajamaa kanamhemea lazima atajitetea eti alikuwa ananilazimisha na wala hajaingiza

ila cjajua wewe ni dini gani, kama ni mkristo vumilia mkuu kwani alichounganisha mungu mwanadamu hawezi kutengua

na kama ni muisilam mpe talaka rejea aende akajifunze huko kwa wazazi wake.

Sorry basi, i though ni yaleyale (although ntacheki after 3 weeks laweza kuja jingine)

Back to topic, pole sana mkuu na ushauri wangu ni kwamba there is nothing you can do to reverse whatever happened... Just find a way to move forward positively, na ikibidi hata wote kuhamia dar si mbaya kwani kuna watu hawawezi kustahimili kabisa kukosa ile supply ya yale mabo yetu

One advice mkuu, usimtafute huyo mgoni wako.... haisaidii, deal with your wife, seek advice from elders and God and move on

Ila bado sikuelewi.... Kwanini ulianza tu na kuomba simu yake?? can aanyone just start asking for a phone ya mkewe au mumewe kweli jamani??

mkuu pia vuzuri bandiko lake.......siku ya kwanza aliona mke anakaa na simu mkononi naanajificha yeye kama mtu mzima akajua kuna kitu hakiendi sawa....kesho yake wife katoka job na kufikia ndani ya blanket eti kajikwaa mguu na simu yuko nayo ndani ya blanket...huyu ni mtu mzima bana anajua anafanya nini ndo maana aliomba simu na hiki ni kitu cha kawaida tu.kama wife hanahofu na ni muwazi angetoa simu lakini sio kulalamika toka nje na uzime taa.......soma vizuri mkuu.....

Jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.

yeye yuko Mkoani mimi niko chuoni Dar es Salaam kimasomo elimu ya juu. Wiki za nyuma kabla ya sikukuu ya Idd mawasiliano na mke wangu yaliyumba sana, yalitawaliwa na kiburi sana.

Nimeenda kwenye sikukuu ya Idd ndio nikagundua usaliti. Mke wangu alikua bize sana na simu, pia alikua anaificha sana tofauti na mwanzo, haitoki mkononi kila mara anaandika msg. Nikaiwinda nikashindwa.

Siku moja alitoka kazini akanisalimia akakaa kidogo sitting rum kisha akaenda chumbani mida ya saa 1 usiku. akazima taa kajifunika blanket. Mi nikaingia chumbani nikawasha taa. Nikamuuliza mbona umelala saa hizi, sio kawaida? akajibu' nilipokua natoka job nimejigonga mguu unauma...., nikamjibu poa. Nikamwambia ' naomba simu yako" akakataa katakata na sikujua iko wapi. akasema wewe ya nini si unayo yako? nikamwambia ninashida nayo, akasema nenda ntakuletea zima na taa...

nikatoka chumbani sikuzima taa, nikarudi nikakuta kazima tena na kajifunika kama mwanzo. Nikatumia nguvu nikampekua nikamnyang'anya simu. Baada ya kumnyang'anya nikawa nayo mimi, baada ya muda kidogo ikaingia msg inasema "Thanks hny"

Nikaandika msg kumuuliza ' nitakuona kesho dia?' akajibu hivi " tutapanga mpz". Nikawasha moto nyumbani hapo, amekili kua ni mpenzi wake ila hawaja sex..... Naombeni ushauri maana sijaamua kitu mpaka sasa, ingawa nimeshatembeza kichapo sana... kuendelea kuishi nae naona sitakua na amani maana hapa nilipo niko dar yeye yuko mkoani.... sina imani nae tena.....

Ndugu najua unabeza, lakini wewe ni mwanaume, sikuombei ila utakutana nayo tu.....
kama miezi miwili tu huyo ana kitabia chake tu,kuwa makini najua wanawake ni wastahimilivu kuliko sisi wanaweza kaa hata mwaka mzima bila ku do sasa huyo 2 months angalia sana.au kaingiwa na tamaa za pesa?unatoa za matumizi ?mi ndio maana naogopa kuoa,im serious.mtoto mkubwa kiasi gani?pole sana mshikaji lakini uwe mwangalifu na wewe huko chuo pia usije lipiza kisasiSio kama miaka 4 yote niko nae mbali ila hua naenda ikizidi sana miezi mi2
wanawake bana hatakama ukikuta kajamaa kanamhemea lazima atajitetea eti alikuwa ananilazimisha na wala hajaingiza
ila cjajua wewe ni dini gani, kama ni mkristo vumilia mkuu kwani alichounganisha mungu mwanadamu hawezi kutengua
na kama ni muisilam mpe talaka rejea aende akajifunze huko kwa wazazi wake.
kama miezi miwili tu huyo ana kitabia chake tu,kuwa makini najua wanawake ni wastahimilivu kuliko sisi wanaweza kaa hata mwaka mzima bila ku do sasa huyo 2 months angalia sana.au kaingiwa na tamaa za pesa?unatoa za matumizi ?mi ndio maana naogopa kuoa,im serious.mtoto mkubwa kiasi gani?pole sana mshikaji lakini uwe mwangalifu na wewe huko chuo pia usije lipiza kisasi
hebu weka hiyo kituMkuu Kipusy, kwanza kabisa umenikuna sana Kwa kutoa kichapo.
Kuna wanawake wa aina kuu Mbili Mkuu Kipusy.
1. Wale ambao ku cheat kwao ni Jadi,hawa hata wakimegwa nje hautajua,wata maintain Discpline, na kila kitu kitakuwa fine.
2. Wanao cheat "Out of their will" Hawa Mkuu hunesha vijitabia kama za Mkeo Kaka, especially kama ata ku cheat pale ambapo kuna miss understanding kati yenu, Swali Mkuu ni kuwa just before Kiburi hakiajaanza,je mlikuwa na quarral apart from wewe kuwa mbali nae, au je alikuwa happy na wewe kuwa Mbali,na maanisha je alikuwa ha Complain complain kwa hili,je ulikuwa una keep in touch nae kwa sanaaa,je ulikuwa unatengeneza mazingira ya yeye kuja Mjin mara kwa mara au ulikuwa unachukulia poa,
Hilo la kichapo Mkuu, uko sahihi kabisa, Mie nakushaur Mpe kitu inaitwa Psychological Punishment.....
Unataka niiweke hapa???
Ndugu najua unabeza, lakini wewe ni mwanaume, sikuombei ila utakutana nayo tu.....
Mkuu, ebu soma hii mistari:wanawake bana hatakama ukikuta kajamaa kanamhemea lazima atajitetea eti alikuwa ananilazimisha na wala hajaingiza
ila cjajua wewe ni dini gani, kama ni mkristo vumilia mkuu kwani alichounganisha mungu mwanadamu hawezi kutengua
na kama ni muisilam mpe talaka rejea aende akajifunze huko kwa wazazi wake.

mkanye na umuambie aache hiyo tabia kama hata sikia ndio uje huku kwani unaweza jikuta umemwacha na kuongeza idadi ya watoto wasionamuelekeo..

POLE SANA KWA MAGUMU HAYO

Msamehe, ili nawewe usamehewe ya kwako.

Matatizo ya NDOA hutatuliwa na wawili ( wenye ndoa yao)

Kumuacha sidhani ni dawa ya utakaemuao baada ya huyu

Angalia jinsi ya kuliweka sawa NDANI YA NDOA
Mkuu Kipusy, kwanza kabisa umenikuna sana Kwa kutoa kichapo.