Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

Mke wangu amenisaliti kwa ushahidi wa mazingira, nifanye nini?

Pambav zako wewe,piga chini,hakuna mke hapo....hata kama bado yuko kwako,ukirudi chuo anza kutafuta chombo kingine!!***** wallah huyo mwanamke ni shetani!!

wanawake bana hatakama ukikuta kajamaa kanamhemea lazima atajitetea eti alikuwa ananilazimisha na wala hajaingiza

ila cjajua wewe ni dini gani, kama ni mkristo vumilia mkuu kwani alichounganisha mungu mwanadamu hawezi kutengua

na kama ni muisilam mpe talaka rejea aende akajifunze huko kwa wazazi wake.

aisee umenifurjahisha sana du! Yaani kijamaa kinakata viunu juu yake then anasema hakuingiza ama kweli.......

Sorry basi, i though ni yaleyale (although ntacheki after 3 weeks laweza kuja jingine)

Back to topic, pole sana mkuu na ushauri wangu ni kwamba there is nothing you can do to reverse whatever happened... Just find a way to move forward positively, na ikibidi hata wote kuhamia dar si mbaya kwani kuna watu hawawezi kustahimili kabisa kukosa ile supply ya yale mabo yetu

One advice mkuu, usimtafute huyo mgoni wako.... haisaidii, deal with your wife, seek advice from elders and God and move on

Ila bado sikuelewi.... Kwanini ulianza tu na kuomba simu yake?? can aanyone just start asking for a phone ya mkewe au mumewe kweli jamani??

ujue labda tangu zamani simu ya huyo mke wake alikuwa akiiachilia tu! Let say sebuleni mpaka iite ndo akumbuke iko wapi.Sasa ghafla ghafla mwanamke hataki jamaa ashike simu yake na tena popote pale hadi bafuni anaenda nayo,nadhani hata kama ni wewe lazima utahisi kuna ki2 kinaendelea.Vile vile ujue mwanamke akianza kutoka nje lazima utajua tu! Dharau za hapa na pale n.k

mkuu pia vuzuri bandiko lake.......siku ya kwanza aliona mke anakaa na simu mkononi naanajificha yeye kama mtu mzima akajua kuna kitu hakiendi sawa....kesho yake wife katoka job na kufikia ndani ya blanket eti kajikwaa mguu na simu yuko nayo ndani ya blanket...huyu ni mtu mzima bana anajua anafanya nini ndo maana aliomba simu na hiki ni kitu cha kawaida tu.kama wife hanahofu na ni muwazi angetoa simu lakini sio kulalamika toka nje na uzime taa.......soma vizuri mkuu.....

ujue mr.edo humu 2na watoto yaani under 18 wengi tu! So hata kusoma thread hasomi vizuri wanaishia kum-attack mwandika thread siyo vizuri.Na tena usishangae

Jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.

yeye yuko Mkoani mimi niko chuoni Dar es Salaam kimasomo elimu ya juu. Wiki za nyuma kabla ya sikukuu ya Idd mawasiliano na mke wangu yaliyumba sana, yalitawaliwa na kiburi sana.

Nimeenda kwenye sikukuu ya Idd ndio nikagundua usaliti. Mke wangu alikua bize sana na simu, pia alikua anaificha sana tofauti na mwanzo, haitoki mkononi kila mara anaandika msg. Nikaiwinda nikashindwa.

Siku moja alitoka kazini akanisalimia akakaa kidogo sitting rum kisha akaenda chumbani mida ya saa 1 usiku. akazima taa kajifunika blanket. Mi nikaingia chumbani nikawasha taa. Nikamuuliza mbona umelala saa hizi, sio kawaida? akajibu' nilipokua natoka job nimejigonga mguu unauma...., nikamjibu poa. Nikamwambia ' naomba simu yako" akakataa katakata na sikujua iko wapi. akasema wewe ya nini si unayo yako? nikamwambia ninashida nayo, akasema nenda ntakuletea zima na taa...

nikatoka chumbani sikuzima taa, nikarudi nikakuta kazima tena na kajifunika kama mwanzo. Nikatumia nguvu nikampekua nikamnyang'anya simu. Baada ya kumnyang'anya nikawa nayo mimi, baada ya muda kidogo ikaingia msg inasema "Thanks hny"

Nikaandika msg kumuuliza ' nitakuona kesho dia?' akajibu hivi " tutapanga mpz". Nikawasha moto nyumbani hapo, amekili kua ni mpenzi wake ila hawaja sex..... Naombeni ushauri maana sijaamua kitu mpaka sasa, ingawa nimeshatembeza kichapo sana... kuendelea kuishi nae naona sitakua na amani maana hapa nilipo niko dar yeye yuko mkoani.... sina imani nae tena.....

mkanye na umuambie aache hiyo tabia kama hata sikia ndio uje huku kwani unaweza jikuta umemwacha na kuongeza idadi ya watoto wasionamuelekeo..

we huyo atakuwa kapata mtu anaenda Chumvini du pole kaka Ndoa ndoano bt 4real mteme

Sio kama miaka 4 yote niko nae mbali ila hua naenda ikizidi sana miezi mi2
kama miezi miwili tu huyo ana kitabia chake tu,kuwa makini najua wanawake ni wastahimilivu kuliko sisi wanaweza kaa hata mwaka mzima bila ku do sasa huyo 2 months angalia sana.au kaingiwa na tamaa za pesa?unatoa za matumizi ?mi ndio maana naogopa kuoa,im serious.mtoto mkubwa kiasi gani?pole sana mshikaji lakini uwe mwangalifu na wewe huko chuo pia usije lipiza kisasi

POLE SANA KWA MAGUMU HAYO
Msamehe, ili nawewe usamehewe ya kwako.
Matatizo ya NDOA hutatuliwa na wawili ( wenye ndoa yao)
Kumuacha sidhani ni dawa ya utakaemuao baada ya huyu

Angalia jinsi ya kuliweka sawa NDANI YA NDOA

wanawake bana hatakama ukikuta kajamaa kanamhemea lazima atajitetea eti alikuwa ananilazimisha na wala hajaingiza
ila cjajua wewe ni dini gani, kama ni mkristo vumilia mkuu kwani alichounganisha mungu mwanadamu hawezi kutengua
na kama ni muisilam mpe talaka rejea aende akajifunze huko kwa wazazi wake.

Marekebisho kidogo ndugu. Kwenye masuala ya uzinzi ni ruksa kwa mkristo kuacha mke au mume. Haya ni maelekezo ni kwa mujibu wa Jesus mwenyewe. Ila kusamehe nako ni ruksa. Tatizo tu ninaloliona kwa huyu ndugu ni kuwa je akiamua kumsamehe huyo bibiye ataweza kumuamini tena? Je huyo mama ataacha kugawa tunda nje baada ya kusamehewa?

Mkuu Kipusy, kwanza kabisa umenikuna sana Kwa kutoa kichapo.
Kuna wanawake wa aina kuu Mbili Mkuu Kipusy.
1. Wale ambao ku cheat kwao ni Jadi,hawa hata wakimegwa nje hautajua,wata maintain Discpline, na kila kitu kitakuwa fine.
2. Wanao cheat "Out of their will" Hawa Mkuu hunesha vijitabia kama za Mkeo Kaka, especially kama ata ku cheat pale ambapo kuna miss understanding kati yenu, Swali Mkuu ni kuwa just before Kiburi hakiajaanza,je mlikuwa na quarral apart from wewe kuwa mbali nae, au je alikuwa happy na wewe kuwa Mbali,na maanisha je alikuwa ha Complain complain kwa hili,je ulikuwa una keep in touch nae kwa sanaaa,je ulikuwa unatengeneza mazingira ya yeye kuja Mjin mara kwa mara au ulikuwa unachukulia poa,

Hilo la kichapo Mkuu, uko sahihi kabisa, Mie nakushaur Mpe kitu inaitwa Psychological Punishment.....
Unataka niiweke hapa???

kama miezi miwili tu huyo ana kitabia chake tu,kuwa makini najua wanawake ni wastahimilivu kuliko sisi wanaweza kaa hata mwaka mzima bila ku do sasa huyo 2 months angalia sana.au kaingiwa na tamaa za pesa?unatoa za matumizi ?mi ndio maana naogopa kuoa,im serious.mtoto mkubwa kiasi gani?pole sana mshikaji lakini uwe mwangalifu na wewe huko chuo pia usije lipiza kisasi

Huwezi kua na familia ukaacha kutoa matumizi, mtoto ana miaka 3 na miezi 8

Mkuu Kipusy, kwanza kabisa umenikuna sana Kwa kutoa kichapo.
Kuna wanawake wa aina kuu Mbili Mkuu Kipusy.
1. Wale ambao ku cheat kwao ni Jadi,hawa hata wakimegwa nje hautajua,wata maintain Discpline, na kila kitu kitakuwa fine.
2. Wanao cheat "Out of their will" Hawa Mkuu hunesha vijitabia kama za Mkeo Kaka, especially kama ata ku cheat pale ambapo kuna miss understanding kati yenu, Swali Mkuu ni kuwa just before Kiburi hakiajaanza,je mlikuwa na quarral apart from wewe kuwa mbali nae, au je alikuwa happy na wewe kuwa Mbali,na maanisha je alikuwa ha Complain complain kwa hili,je ulikuwa una keep in touch nae kwa sanaaa,je ulikuwa unatengeneza mazingira ya yeye kuja Mjin mara kwa mara au ulikuwa unachukulia poa,

Hilo la kichapo Mkuu, uko sahihi kabisa, Mie nakushaur Mpe kitu inaitwa Psychological Punishment.....
Unataka niiweke hapa???
hebu weka hiyo kitu

Kunguru hafugiki Mkuu! Huna sababu ya kukosa furaha kwa mtu asiyekupenda. Kuanza upya si ujinga.

wanawake bana hatakama ukikuta kajamaa kanamhemea lazima atajitetea eti alikuwa ananilazimisha na wala hajaingiza
ila cjajua wewe ni dini gani, kama ni mkristo vumilia mkuu kwani alichounganisha mungu mwanadamu hawezi kutengua
na kama ni muisilam mpe talaka rejea aende akajifunze huko kwa wazazi wake.
Mkuu, ebu soma hii mistari:

lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Matthew 5:32

Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Matthew 19:9

mkanye na umuambie aache hiyo tabia kama hata sikia ndio uje huku kwani unaweza jikuta umemwacha na kuongeza idadi ya watoto wasionamuelekeo..

nyie ndo mnaweza kuishi kwenye ndoa eti mkanye mwambie aache hiyo tabia...mkuu haya maisha ukitaka kuyaenjoy kwel yafikirie kwa juu juu,mimi kabla hata ya kumkanya maswali yafuatayo yatazunguka kichwani mwangu masaa 24 huku nikikosa hamu ya kula na mood ya kufanya kazi

1.inamaanisha wife sio muaminifu so inawezekana hajaanza kunisaliti leo wala jana

2.inawezekana pia ana bwana zaidi ya huyo mmoja anayechat nae sasa

3.inawezekana wameshakutana kimwili mayb bila hata kinga na ameambukizwa maradhi

4.inawezekana hata hii mitoto sio yangu em licheki lile lilivyokua tundu...kumbe ndo maana hata sifanani nao

5.inawezekana hata yule muuza duka anacheka cheka nae ni bwanake

6.kile kipindi aliniaga anaenda kusalimia kwao inawezekana alipitia kwa huyo ***** akampa mali zangu usiku kucha..oooh shit nimeliwa

7.usikute pia nimeshaambukizwa maradhi what the hell is this mzfck
8.so all those dayz she never loved me,cared about me and our family...cant belive if my wife is dhat much selfish

and so on and so on ...ndo maana nasema ndoa ni wito me i cant take all those shits

Mteme mkuu,maana hata Dini zote hazikubaliani na uzinzi § uasherati
POLE SANA KWA MAGUMU HAYO

Msamehe, ili nawewe usamehewe ya kwako.

Matatizo ya NDOA hutatuliwa na wawili ( wenye ndoa yao)

Kumuacha sidhani ni dawa ya utakaemuao baada ya huyu

Angalia jinsi ya kuliweka sawa NDANI YA NDOA

kweli inauma mimi naomba kapime kwanza kabla ya yote. maana wanawamke uaminifu umeisha kabisa sijui shetani au ndio siku za mwisho?

Mkuu Kipusy, kwanza kabisa umenikuna sana Kwa kutoa kichapo.
Kuna wanawake wa aina kuu Mbili Mkuu Kipusy.
1. Wale ambao ku cheat kwao ni Jadi,hawa hata wakimegwa nje hautajua,wata maintain Discpline, na kila kitu kitakuwa fine.
2. Wanao cheat "Out of their will" Hawa Mkuu hunesha vijitabia kama za Mkeo Kaka, especially kama ata ku cheat pale ambapo kuna miss understanding kati yenu, Swali Mkuu ni kuwa just before Kiburi hakiajaanza,je mlikuwa na quarral apart from wewe kuwa mbali nae, au je alikuwa happy na wewe kuwa Mbali,na maanisha je alikuwa ha Complain complain kwa hili,je ulikuwa una keep in touch nae kwa sanaaa,je ulikuwa unatengeneza mazingira ya yeye kuja Mjin mara kwa mara au ulikuwa unachukulia poa,

Hilo la kichapo Mkuu, uko sahihi kabisa, Mie nakushaur Mpe kitu inaitwa Psychological Punishment.....
Unataka niiweke hapa???

Kwa kweli sikua na quarral nae, na alikua na happy pia mimi kuja shule na pia kuna miezi ya mwanzo alikua anakuja sana mjini....

Hiyo ki2 iweke hapo

Back
Top Bottom