A
Pole kwa changamoto mkuu,Mimi ni muajririwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani mitatu nimefuatilia uhamisho wa mkewangu bila mafanikio, ukiingia kwenye mfumo kuomba uhamisho mfumo unaleta meseji ya "VACANCY NOT BUDGETED".
Mwaka huu 2026, mke akapata changamoto ya Afya ya Akili na anahudhuria Kliniki ya changamoto yake Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Nikarudi Ofisi ya Wizara ya TAMISEMI - Dodoma kuomba msaada ili aweze kuwa karibu na eneo lake la matibabu na awe karibu familia yake lakini nikaambiwa nikajaze kwenye mfumo ambao kwa miaka 3 mfululizo unasema VACANCY NOT BUDGETED, nikaambiwa hawana namna ya kunisaidia kwa lolote bali niendelee kukomaa na mfumo.
Nashindwa kuelewa kuwa ni kweli Serikali haioni umuhimu wa kumpatia uhamisho au baadhi ya watendaji wake ndiyo hawataki kunisaidia katika hili jambo la matibabu ya mke wangu.
Pole sana. Inauma sana pale ambapo watu unaodhani wanawajibu wa kukusaidia, wanakubeza. Nenda huko dodoma huenda ukafanikishaMimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani mitatu nimefuatilia uhamisho wa mke wangu bila mafanikio, ukiingia kwenye mfumo kuomba uhamisho mfumo unaleta meseji ya "VACANCY NOT BUDGETED".
Mwaka huu 2026, mke akapata changamoto ya Afya ya Akili na anahudhuria Kliniki ya changamoto yake Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Nikarudi Ofisi ya Wizara ya TAMISEMI - Dodoma kuomba msaada ili aweze kuwa karibu na eneo lake la matibabu na awe karibu na familia yake lakini nikaambiwa nikajaze kwenye mfumo ambao kwa miaka 3 mfululizo unasema VACANCY NOT BUDGETED, nikaambiwa hawana namna ya kunisaidia kwa lolote bali niendelee kukomaa na mfumo.
Nashindwa kuelewa kuwa ni kweli Serikali haioni umuhimu wa kumpatia uhamisho au baadhi ya watendaji wake ndiyo hawataki kunisaidia katika hili jambo la matibabu ya mke wangu?
Kusanya doc za matibabu nenda omba kukutana na Katibu mkuu au Naibu wake utakuwa umemaliza.Ukishindwa kwa hao tenga Bajeti mwezi tu inasomeka kwenye mfumo ameshahama.Zingatia Neno Bajeti.Mimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani mitatu nimefuatilia uhamisho wa mke wangu bila mafanikio, ukiingia kwenye mfumo kuomba uhamisho mfumo unaleta meseji ya "VACANCY NOT BUDGETED".
Mwaka huu 2026, mke akapata changamoto ya Afya ya Akili na anahudhuria Kliniki ya changamoto yake Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Nikarudi Ofisi ya Wizara ya TAMISEMI - Dodoma kuomba msaada ili aweze kuwa karibu na eneo lake la matibabu na awe karibu na familia yake lakini nikaambiwa nikajaze kwenye mfumo ambao kwa miaka 3 mfululizo unasema VACANCY NOT BUDGETED, nikaambiwa hawana namna ya kunisaidia kwa lolote bali niendelee kukomaa na mfumo.
Nashindwa kuelewa kuwa ni kweli Serikali haioni umuhimu wa kumpatia uhamisho au baadhi ya watendaji wake ndiyo hawataki kunisaidia katika hili jambo la matibabu ya mke wangu?
Pole sana mkuuMimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani mitatu nimefuatilia uhamisho wa mke wangu bila mafanikio, ukiingia kwenye mfumo kuomba uhamisho mfumo unaleta meseji ya "VACANCY NOT BUDGETED".
Mwaka huu 2026, mke akapata changamoto ya Afya ya Akili na anahudhuria Kliniki ya changamoto yake Hospitali ya Mirembe Dodoma.
Nikarudi Ofisi ya Wizara ya TAMISEMI - Dodoma kuomba msaada ili aweze kuwa karibu na eneo lake la matibabu na awe karibu na familia yake lakini nikaambiwa nikajaze kwenye mfumo ambao kwa miaka 3 mfululizo unasema VACANCY NOT BUDGETED, nikaambiwa hawana namna ya kunisaidia kwa lolote bali niendelee kukomaa na mfumo.
Nashindwa kuelewa kuwa ni kweli Serikali haioni umuhimu wa kumpatia uhamisho au baadhi ya watendaji wake ndiyo hawataki kunisaidia katika hili jambo la matibabu ya mke wangu?
Aonane na mwenye mbwa na sio mbwa. Namaanisha aonane na Mkurugenzi wa HR au msaidizi wake au KM au NKM ni watu wema sana na wasikivu sana.Kusanya doc za matibabu nenda omba kukutana na Katibu mkuu au Naibu wake utakuwa umemaliza.Ukishindwa kwa hao tenga Bajeti mwezi tu inasomeka kwenye mfumo ameshahama.Zingatia Neno Bajeti.