MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

Sababu moja ya muhimu hajaiweka wazi.
 
Nunua robot wewe. Ni bikra

Mimi ni Bora nioe Wake wengi kwani Mimi ni muafrika lakini pia Mungu wa Tibeli ananiruhusu kuoa wake wengi, kuliko kulala na Robot.

Kulala na Robot kutamaanisha Mimi ni mwendawazimu
 
Hayo madoli takuja kuwa miili ya Majinni-shetani (haunted dolls) .
 
Mkeo mwambie hawezi kuwa peke yake hata akinunua mdoli mcheps mwanadamu atakuwepo...bwana wa peke yake ni bwana Yesu tu😁😁😁
 
Hiii robot [emoji880] mnaipa tu promo!! Shindwa pepo!
 
"umkubalie au umkatalie?" hili swali mbona halina maana kwani anae hitaji robot ni wewe au ni yeye? kama wewe hutaki na ni kwaajili ya matumizi yako utamkubaliaje kwenye kitu usicho kitaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…