MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

Anamsikiliza tu akili zake hatujui wanawake🤣🤣🤣japo mtibeli angejifanya kakubali aletewe rirobot huo moto ambao ungewaka ingebidi kikiosi kizima Cha fire kije kuuzima
😂😂😂mwache ajichanganye ndo atajua hajui😅
 

Japan Releases Fully Performing Female Robots​


 
"umkubalie au umkatalie?" hili swali mbona halina maana kwani anae hitaji robot ni wewe au ni yeye? kama wewe hutaki na ni kwaajili ya matumizi yako utamkubaliaje kwenye kitu usicho kitaka?

Swali limelenga Maoni ya wengine. Mambo ya mitandao hayo Mkuu
 
Anamsikiliza tu akili zake hatujui wanawake🤣🤣🤣japo mtibeli angejifanya kakubali aletewe rirobot huo moto ambao ungewaka ingebidi kikiosi kizima Cha fire kije kuuzima

Ninyi wake zangu Akili zenu najua zinavyofanya kazi.
Hamnipati ng'oo
 
Kwa ambao hamjamuelewa mtibeli ngoja niwarahisishie;

📍Kaamua kuelezea faida ya robots Kwa mtindo wa kuonesha kama ni hoja za mke wake lkn kiuhalisia ni yeye.....Watu wa fasihi wanajua!

📍Kaamua kumsifia mke wake indirectly kuonesha ana big brain.... Na mke wake yupo humu Kwa fake ID🤣
 

😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…