MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?


πŸ˜€
Mpigieni Binti yenu mumuulize imekuaje anataka Kuninunulia midoli ya kirobot kwani ndivyo mlivyomfunza?
Alafu Mimi NI mtibeli. Na sio msabato. Ungeomba uambiwe nguzo na mafundisho ya kitibeli yakoje Kwanza Bwana shemeji, kuliko kutoa hasira zako hapa JF
 
Kama anapiga kelele we endelea kujichapia wote two in oneπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona kama nawe unakubalikubali hivi (sitaki nataka) ila bado hujaconfirm.

Huyp mke anaweza kuwa anaandaa mazingira ya yeye kutumia dildo waziwazi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…