Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari.

Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
 
Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako ?
Me maisha yangu yanaenda vzuri bila shoga bila somo bila kiswaswadu.... Najichanganya na watu vzuri tu lkn ushosti wa hadi uje maskani yangu nope, mara sijui birthday party hapana.... Najifunza kuitanguliza familia na ndugu kwanza.... Akikosea tunaambiana bas lyfe linasonga..... Lkn rfk ukimwambia ashakununuia.... Yalinikuta nkajifunza
 
Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari.

Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
shoga sio watu wazuri
 
Me maisha yangu yanaenda vzuri bila shoga bila somo bila kiswaswadu.... Najichanganya na watu vzuri tu lkn ushosti wa hadi uje maskani yangu nope, mara sijui birthday party hapana.... Najifunza kuitanguliza familia na ndugu kwanza.... Akikosea tunaambiana bas lyfe linasonga..... Lkn rfk ukimwambia ashakununuia.... Yalinikuta nkajifunza
Tupe stry nzima.
 
Rafiki wa kweli ni Mungu pekee anayekujali katika shida na raha, mbali na hapo labda wazazi wako tu, wengine waliobaki inabidi uishi nao kwa akili yenye afya.
Rafiki wa kweli ni mungu tu ata uyo mzaz wako anaweza asiwe rafiki wa kweli
 
Inaonekana mashoga zako wakina mwajuma ndala ndefu hawapitwi na vitu mapaka shume awachelewi kubeba mabwana za watu
 
Back
Top Bottom