bro_A
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 1,371
- 1,060
Hill ni 80% trueKua makini mkuu itakuwa wameibiana mabwana hao... anaogopa wenzake watakuja kulipa kisasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hill ni 80% trueKua makini mkuu itakuwa wameibiana mabwana hao... anaogopa wenzake watakuja kulipa kisasi
Ndege wafananao huruka pa1Inaonekana mashoga zako wakina mwajuma ndala ndefu hawapitwi na vitu mapaka shume awachelewi kubeba mabwana za watu
Wazazi ni mibaraka kwenye Biblia KUTOKA 20 : 12, la sivyo hapo utakuwa una matatizoRafiki wa kweli ni mungu tu ata uyo mzaz wako anaweza asiwe rafiki wa kweli
Ahahahah,,, kabsa aiseeNdege wafananao huruka pa1
Hizi sababu zinaweza kuwa na au zinahisia kali, maana wengine utasema ni mabi harusi kwa wanavyojiremba na hata my dear huwapiga jicho wale wanaovaa tight,wanatisha.Ameona kama unaanza kuwa na ukaribu nao watakuambia siri zake au anahofia usije pita nao ni wakali sana kuliko yeye, au vyote kwa mpigo.