Umenena vyema.Rafiki wa kweli ni Mungu pekee anayekujali katika shida na raha, mbali na hapo labda wazazi wako tu, wengine waliobaki inabidi uishi nao kwa akili yenye afya.
Point ya msingi sana hiiKua makini mkuu itakuwa wameibiana mabwana hao... anaogopa wenzake watakuja kulipa kisasi
Me maisha yangu yanaenda vzuri bila shoga bila somo bila kiswaswadu.... Najichanganya na watu vzuri tu lkn ushosti wa hadi uje maskani yangu nope, mara sijui birthday party hapana.... Najifunza kuitanguliza familia na ndugu kwanza.... Akikosea tunaambiana bas lyfe linasonga..... Lkn rfk ukimwambia ashakununuia.... Yalinikuta nkajifunzaSijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari.
Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako ?
shoga sio watu wazuriSijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari.
Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
Tupe stry nzima.Me maisha yangu yanaenda vzuri bila shoga bila somo bila kiswaswadu.... Najichanganya na watu vzuri tu lkn ushosti wa hadi uje maskani yangu nope, mara sijui birthday party hapana.... Najifunza kuitanguliza familia na ndugu kwanza.... Akikosea tunaambiana bas lyfe linasonga..... Lkn rfk ukimwambia ashakununuia.... Yalinikuta nkajifunza
[emoji16][emoji16][emoji16]stori siku nyingine mkuuTupe stry nzima.
Rafiki wa kweli ni mungu tu ata uyo mzaz wako anaweza asiwe rafiki wa kweliRafiki wa kweli ni Mungu pekee anayekujali katika shida na raha, mbali na hapo labda wazazi wako tu, wengine waliobaki inabidi uishi nao kwa akili yenye afya.