Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Ukiwaza mambo ambayo hayapo ndo utata unaanza.
Suluhisho muulize kwanini kaweka wakati haupo!?. Na kwanini hakukushirikisha!?. Huenda majibu yake yakawa na mashiko.
Usihukumu moyoni kabla hujamuuliza.
Weka meza ya majadiliano baina yenu.

Mara nyingi wanawake hufata mikumbo kwa mashoga wa mitaani , au elimu ya kuweka Hakuwa nayo ndo kaipata akaona atumie fursa hiyo kbsa. Kwahy mwenye majibu Kamili ni muhusika.
 
Anachepuka huyo, juzi tu nimemdonyoa.. mpe talaka kenge we
 
Mjomba umechapiwa for my own expirience uyo washamlomba,chunguza taratibu tu, kwanza angekuambia kafanya kimya kimya kwanin asisubir adi uje mshahuriane,!na uzaz wa mpango sio muhimu kama huna ratiba za ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…